Boeing walituahidi ndege ya nyongeza, imeshafika?

Nakumbuka baada ya kununua Boeing 787 Dreamliner kwa cash rais alisema wazungu (Boeing) wamefurahi sana, akasema wameahidi kutupa ndege nyingine ya nyongeza bure.

Tayari Dreamliner imeshafika, nauliza tu ile ndege ya nyongeza tumeshapewa au bado iko kiwandani inamaliziwa kupakwa rangi.

Wajinga ndio waliwao.

CC: Msemaji wa serikali.
Jamani ninyi waongo,dreamliner ya bure?
 
Watu wananunua ad gari 100 kwa wakati mmoja hawaongezewi ata spare tyre
Sisi tumenunua kandege kamoja tunataka na nyonheza ya ndege nyingine

Maguful aliona watz wote ni Wa sukuma kwa hyo ata akisema kuna siku meli ya mizigo itatia nanga Arusha mtaamini tu!
Hahaahhaa
 
Nakumbuka baada ya kununua Boeing 787 Dreamliner kwa cash rais alisema wazungu (Boeing) wamefurahi sana, akasema wameahidi kutupa ndege nyingine ya nyongeza bure.

Tayari Dreamliner imeshafika, nauliza tu ile ndege ya nyongeza tumeshapewa au bado iko kiwandani inamaliziwa kupakwa rangi.

Wajinga ndio waliwao.

CC: Msemaji wa serikali.
Labda hiyo nyongeza ilikuwa toy(mdoli) wa ndege. Aliipokea kimya kimya, itakuwa ikulu.
 
Nakumbuka baada ya kununua Boeing 787 Dreamliner kwa cash rais alisema wazungu (Boeing) wamefurahi sana, akasema wameahidi kutupa ndege nyingine ya nyongeza bure.

Tayari Dreamliner imeshafika, nauliza tu ile ndege ya nyongeza tumeshapewa au bado iko kiwandani inamaliziwa kupakwa rangi.

Wajinga ndio waliwao.

CC: Msemaji wa serikali.
Biashara ya ndege ni tofauti na ya kutembeza karanga mitaani
 
Tupewe nyongeza kwe ndege napi tulizonunua! Labda watumbe nyongeza ya kipopo bawa.
 
Nakumbuka baada ya kununua Boeing 787 Dreamliner kwa cash rais alisema wazungu (Boeing) wamefurahi sana, akasema wameahidi kutupa ndege nyingine ya nyongeza bure.

Tayari Dreamliner imeshafika, nauliza tu ile ndege ya nyongeza tumeshapewa au bado iko kiwandani inamaliziwa kupakwa rangi.

Wajinga ndio waliwao.

CC: Msemaji wa serikali.
labda wanataka kutuletea Boeing 737 - 8 MAX inayoua watu kila uchwao!!
 
Back
Top Bottom