Boeing walituahidi ndege ya nyongeza, imeshafika?

Nakumbuka baada ya kununua Boeing 787 Dreamliner kwa cash rais alisema wazungu (Boeing) wamefurahi sana, akasema wameahidi kutupa ndege nyingine ya nyongeza bure.

Tayari Dreamliner imeshafika, nauliza tu ile ndege ya nyongeza tumeshapewa au bado iko kiwandani inamaliziwa kupakwa rangi.

Wajinga ndio waliwao.
Hivi toka uzaliwe umewahi kusikia kuna ndege ya nyongeza kama ukinunua tela unapewa na Kikeli bure? Ndege ya nyongeza serious...!!!!
 
ile ilikuwa ni mihenko ya Ngosha, ukienda kwenye mtandao waa Boeing, Tanzania wana order ya ndege moja ambayo imeishakuwa delivered, hakuna kingine, kauli za kuna Boeing ya pili ni za kihuni
 
Watu wananunua ad gari 100 kwa wakati mmoja hawaongezewi ata spare tyre
Sisi tumenunua kandege kamoja tunataka na nyonheza ya ndege nyingine

Maguful aliona watz wote ni Wa sukuma kwa hyo ata akisema kuna siku meli ya mizigo itatia nanga Arusha mtaamini tu!
Umesema kaukweli maana huko Ethipia tu walikuwa wamenunua ndege 30, na hawajaongezewa na China imenunua 106 lakini hawajaongezewa sasa sisi kama tulipata nyongeza itakuwa maajabu
 
Back
Top Bottom