Bodi ya Utalii yaanza rasmi kumtangaza Babu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bodi ya Utalii yaanza rasmi kumtangaza Babu!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ehud, Mar 22, 2011.

 1. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Hayawi hayawiiii....sasa yamekua...ktk hali ambayo haikutegemewa na wengi...bodi ya Utalii Tanzania(TTB), imeanza kuitangaza tiba inayotolewa na Mchungaji Ambilikile Mwasapile wa Kijiji cha Sumange, wilayani Loliondo.

  Kwa mujibu wa Ofisa Uhusiano wa bodi hiyo, Geofrey Tengeneza, alisema wameanza kutengeneza picha na taarifa kuhusu tiba inayotolewa na babu huyo na kuzitangaza.

  Alisema taarifa hizo zimeanza kusambazwa katika mitandao mbalimbali, ili kuueleza ulimwengu, aina mpya ya utalii inayopatikana nchini.Alisema tiba inayotolewa na Mchungaji Mwasapile ni aina mpya ya utalii, inayopatikana hapa nchini na kwamba mataifa mengine hayana aina hiyo ya utalii.

  "Sisi kama bodi tumeliona hilo na tumeanza kulifanyia kazi kwa sababu medical tourism ni aina ya utalii ambayo ni mpya hapa kwetu,"alisema.

  Ofisa huyo alisema kazi yao ni kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo nchini na kwamba kazi hiyo imeanza kuzaa matunda baada ya kujitokeza kwa watu kutoka mataifa mbalimbali.

  Tangu Mchungaji Mwasapile aanze kutoa tiba hiyo, mamia ya watu kutoka ndani na nje ya nchi, wamekuwa wakifurika katika Kijiji cha Samunge, kupata tiba hiyo.


  Bodi ya Utalii yaanza rasmi kumtangaza Babu!
   
 2. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Asee yaani kwa hiyo watu wa mataifa mengine wanatakiwa kuja kutalii au kutibiwa?
   
 3. M

  Marytina JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  kosa la karne
   
 4. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2011
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  nutcase..!
   
 5. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  wanakuja kutalii!wanakuja kuona jinsi mwanadamu aliyedumaa(mentally retarded humanbeing)anavyotumia njia za kizamani za kutibu magonjwa katika karne ya 21.ni utalii haswa....!kumbuka mwanadamu wa kale zaidi aliaminika kuishi tanzania,yawezeka kabisa tanzania bado ina watu wa kale(kama zinjanthropus)
  hongera sana bodi ya utalii.keep it up!
   
 6. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
  kweli Mungu anaipenda Tanzania, nchi ya kipekee duniani pamoja na sayari zingine zote zenye viumbe. Mungu endelea kuibariki Tz, Mungu mbariki na JK maana haya yanatokea katika regime yake!!!!!!!!!!!!!!!
   
 7. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Wanashindwa kutangaza Mt. Kilimanjaro na mbuga wanamtangaza babu Pumbavu Nchi ya Vilaza:embarassed2:
   
 8. LD

  LD JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mmmmmmh,
  Sio lazima kusema sana, acha ninyamaze.
  Anyway si watatuletea fedha za kigeni,
  Walete tu.
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Baniani mbaya, kiatu chake dawa!
   
 10. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Sasa nani atatoa patent ya hiyo dawa? Ingekuwa kwa nchi za wenzetu wangeifanyia kazi na kuhakikisha inaliingizia taifa mpunga.
   
 11. 911

  911 Platinum Member

  #11
  Mar 22, 2011
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 761
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  This is SAD.
   
 12. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #12
  Mar 22, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mkuu hata kama watakuja kutibiwa
  Hawa watu watakaa katika mahotel yetu
  Watatumia migahawa yetu ya aina mbalimbali
  Tanzania itajulikana sana
  Na pesa za kigeni zitaingia bac hapo sekta ya utalii inajipatia kipato na inakua,
  Twende kazi!
   
 13. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #13
  Mar 22, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Medical Tourism. Iko popular sana Mexico, India etc
   
 14. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #14
  Mar 22, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Mh...!! Una hatari wewe...!!!
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  Mar 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,791
  Trophy Points: 280
  offcourse!!
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Mar 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,791
  Trophy Points: 280
  kivipi????
   
 17. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #17
  Mar 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,791
  Trophy Points: 280
  nafikiri unamaanisha ulichoandika
   
 18. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #18
  Mar 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,791
  Trophy Points: 280
  nani kakumbia hawatangazi??
   
 19. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #19
  Mar 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,791
  Trophy Points: 280
  si ndio kama hivyo watalii walika wataspend and other accomodation watajilipia .....ndio mpunga wenyewe huo kaka
   
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  Mar 22, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  HII YETU SIO sIO MEDICAL TOURISM LABDA TUIITE SPIRITUAL/HERBAL HEALING TOURISM
   
Loading...