Bodi ya Utalii yaanza rasmi kumtangaza Babu!

Bila kuingilia suala la imani hapa nadhani TTB wamekosea... unless waseme kwamba babu amekua mmoja ya vivutio vya ngorongoro kutokana na uwezo wa kukusanya watu wanaokwenda kupata tiba ya mizizi na maombezi

Wakiitangaza vibaya tu, basi babu atakua kwenye kundi moja na swala, nyumbu na vifaru wa Serengeti

Very tricky indeed
 
nope..this is pure medical tourism
bila kubishana sana

Nenda kwenye thread zote zinazotetea babu zinatumia hoja ya imani na sio medical

Anyway labda uko sahihi ingawa watu wea medical watakuja kukusaidia.... TAFUTA KIJARIDA KINAITWA "POWER OF PLACEBO"
 
Bila kuingilia suala la imani hapa nadhani TTB wamekosea... unless waseme kwamba babu amekua mmoja ya vivutio vya ngorongoro kutokana na uwezo wa kukusanya watu wanaokwenda kupata tiba ya mizizi na maombezi

Wakiitangaza vibaya tu, basi babu atakua kwenye kundi moja na swala, nyumbu na vifaru wa Serengeti

Very tricky indeed

hii ni medical tourism kwa sababu all medical turism zote zina masharti yake,kwa hiyo haa ho watalii aao watakuwa inerestd kenda kwa b watamiwa mshartiya awa ya babu .so sijui ha unachopinga au unazunguka nini
 
bila kubishana sana

Nenda kwenye thread zote zinazotetea babu zinatumia hoja ya imani na sio medical

Anyway labda uko sahihi ingawa watu wea medical watakuja kukusaidia.... TAFUTA KIJARIDA KINAITWA "POWER OF PLACEBO"

babu hafanyi maombi ndugu yangu ,bau aakupa awa unakunywa na kama ukiwa na i,mani utapona
and do you know YOGA tourism?
 
bila kubishana sana

Nenda kwenye thread zote zinazotetea babu zinatumia hoja ya imani na sio medical

Anyway labda uko sahihi ingawa watu wea medical watakuja kukusaidia.... TAFUTA KIJARIDA KINAITWA "POWER OF PLACEBO"

but ok let call it spiritual tourism....so kuna tatizo lolote hapo...all are kinds of tourism
 
hii ni medical tourism kwa sababu all medical turism zote zina masharti yake,kwa hiyo haa ho watalii aao watakuwa inerestd kenda kwa b watamiwa mshartiya awa ya babu .so sijui ha unachopinga au unazunguka nini
Huna haja ya kutoa povu na kuchapiachapia
A%20S%20confused.gif

Medical tourism in guidelines zake na pia kuna accreditation ya care inayotoka...

Lakini uko sahihi mkuu, babu kawa accredited, na clinical care yake iko documented na pia waweza kupata stats za kila kitu chake:poa

Kumbuka hata ile tiba ya kutumia placenta ya farasi kule eastern europe haikuitwa medical tourism

Ila kwa wewe naomba nikipunguzie povu tu "YOU ARE VERY RIGHT:doh:
 
Mkuu hata kama watakuja kutibiwa
Hawa watu watakaa katika mahotel yetu
Watatumia migahawa yetu ya aina mbalimbali
Tanzania itajulikana sana
Na pesa za kigeni zitaingia bac hapo sekta ya utalii inajipatia kipato na inakua,
Twende kazi!

yani hapa bodi ilikutana kwa dharura na maazimio yaliyofikiwa ndio hayo!teh teh teh bodi ya utalii kuna vichwa!
 
Huna haja ya kutoa povu na kuchapiachapia
A%20S%20confused.gif

Medical tourism in guidelines zake na pia kuna accreditation ya care inayotoka...

Lakini uko sahihi mkuu, babu kawa accredited, na clinical care yake iko documented na pia waweza kupata stats za kila kitu chake:poa

Kumbuka hata ile tiba ya kutumia placenta ya farasi kule eastern europe haikuitwa medical tourism

Ila kwa wewe naomba nikipunguzie povu tu "YOU ARE VERY RIGHT:doh:

im so sorry my friend ujue keyboard yangu ni wireless so ilikuwa inakatakata yenyewe bila mimi mwenyewe kujua coz nilikuwa nimekaa distance kubwa kidogo.sos sorry for that
 
Pamoja mkuu

Hiyo avatar ni heshima tosha mkuu
 
Watengeneze infrastructure kwanza ili kuvutia hao watalii
 
HII YETU SIO sIO MEDICAL TOURISM LABDA TUIITE SPIRITUAL/HERBAL HEALING TOURISM

ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa - THANKS - THIS STATEMENT MADE MY DAY - ngoja nitafute kibutton cha "thanks" nikubonyezee - x 2??
 
Back
Top Bottom