iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,934
Hivi Mkuu naye anakunywa au anavuta?muda wote anapoongea ni kama yuko stimuBodi ya BIA ndio haifai kuigwa kabisa dunia daily bia zinapanda bei.
Hivi Mkuu naye anakunywa au anavuta?muda wote anapoongea ni kama yuko stimuBodi ya BIA ndio haifai kuigwa kabisa dunia daily bia zinapanda bei.
mkuu naomba nikuulize maswaliSisi wakulima wa Pamba kanda ya Ziwa tunajivunia bodi ya Pamba Tanzania kwa kufanya kazi zake kwa WELEDI mkubwa katika kututafutia masoko ndani na nje ya nchi kwa uharaka sana. Wakulima wenzangu wa pamba ni mashahidi kwa hili kwani tunajivunia pamba na jasho letu wengi wetu tumeweza kuwekeza katika miraid mikubwa mikubwa ya maendeleo na kilio cha kisasa kabisa (Teknolojia za kisasa) Kama ingekuwa uwezo wangu ningepandisha hadhi bodi hii na iwe wizara kamili (WIZARA ya MAENDELEO ya PAMBA)
** WEBSITE: www.cotton.or.tz
NB: Wafanyakazi wa bodi hii wanastahili pongezi hasa tukiazimisha siku ya wafanyakazi duniani (Mei Mosi)
Wewe nimchekeshaji wa mfalme,endelea kutetea tumbo lako badala ya wakulimaBodi ya pamba ndo Bodi inayofanya vizur sana nchini ISO 9001:2008
unakumbuka kashfa ya bodi ya kahawa ya Maghembe kuteua wajumbe wa bodi kiupendeleo? ndiyo ujue wakulima hawana sauti kwenye hizi bodi ni serikali kupitia waziri wa kilimo. hata wakoloni wakati wanaanzisha crops boards waliwaambia wananchi ni kwa faida yao.
Bwana kaka sina kitu ninafaidika moja kwa moja na bodi japokuwa ni mnufaika mkubwa wa zao la pamba. Lakini vile vile ninao uelewa wa kutosha na mambo yanayohusu pamba na kwa hivyo sichangii kwa mihemko kama 90% waliochangia katika suala hili. Nimesema tangu mwanzo kwamba aliyeanzisha mada katia chumvi na hivyo kuharibu kila kitu LAKINI wachangiaji nao wana zero understanding juu ya mambo yaliyoko kwenye sekta ya pamba. Wengi wanachangia kwa sababu tu wanajua kuandika lakini si kwa kujua lolote. Kuhusu kukopwa nasema siyo rahisi labda kama wamekopwa na ushirika unaozidi kuishia. Kwa ushahidi tafadhali weka receipt hapa ili usaidiweNdugu Mugosha usitetee kitu usichokijua, kama unafaida na hiyo bodi mfu basi waeleze wasioijua , mwisho nilimwomba mtoa/mleta mada asikumbushe machungu kwani mpaka leo watu wana receipt za mwaka juzi na hawajalipwa, kingine TCB iliua Vyama vya ushirika kwa usimamizi mbaya na ku overbill vyama vya ushirika kwa matumizi hewa, yote haya ingekuwa kesi .ushahidi upo
Ninachojua ni kwamba Pamba ilikuwapo kabla ya chombo cha kuisimamia hakijakuwapo. Kwa hivyo ni wazi pia kwamba hata bila Bodi, Pamba inaweza kuwapo.mugosha unaamini pamba ikifa bodi ya Pamba itabaki?
Kuna wakati miaka ile Mwl. Nyerere aliwahi kusema wakulima wanaweza kulima bila hata ya uwepo wa mabwana shamba hasa wa aina yako. Huna aibu, fanya pamba haifanyi vyema, ni zao gani huku kanda ya ziwa linalofanya vizuri chini ya usimamizi wa ofisi ya kilimo? Ofisi ya kilimo huna aibu kupanua mdomo kulaumu bodi, afadhali nasikia angalau bodi inapeleka mbegu. Halmashauri inapeleka nini kwa wakulima hadi iwe ikichukua 5% ya bei ya wakulima. Unatamba hadharani pamba inafutika wakati ndo zao pekee halmashauri zinapata cessy bure bila jasho. Hizo choroko na mbaazi, unalo soko wapi wewe mbumbumbu. Suala la watumishi wengi kuwa wa kiislam hii ni hoja ya kijinga. Nijuavyo bodi zote za mazao ni taasisi za serikali na utaratibu wa ajira za serikali unajulikana. Acha chuki za kidini kaka. Wewe na ukiristo wako pamoja na utaalam wako wa kilimo umesaidia nini huko simiyu kila mwaka chakula cha msaada toka serikalini. Usijiweke uchi kaka, ni wajibu wako pia kuangalia hayo masuala ya uotaji na utoaji elimu juu ya matumizi sahihi ya viuadudu. Dawa haziui, kwani bodi ni tpri. Inawezekana wewe siyo bwana shamba.Ni ujinga kusifia bodi ya Pamba maana hujui unachokisifia
Kiuhalisia bodi ya Pamba inahusika 100% kudidimiza zao la Pamba
Mimi ni Afisa Kilimo ngazi ya wilaya huku kanda ya ziwa hivyo ninauzoefu wa miaka michache nashuhudia hali hii,
Zifuatazo ni sababu ya bodi ya Pamba kudidimiza zao la Pamba
1. Wafanyakaxi wa bodi, hii bodi imejaa watumishi wasio na uelewa na zao la Pamba mfn utakuta mtu Kasoma Agriculture economic and agribusinesses , food na mambo ya home economic n.k course zisizohusiana na Kilimo hasa physiology na production ya Pamba kwa ujumla hivyo hawajui wanachofanya zaidi ya kukimbia kimbia tu na kuleta barua mbambali
Pia waajiriwa wengi ni wa imani ya kiislam ( Fanya utafiti mdogo )
2. Mgongano wa majukumu kati ya idara ya Kilimo na bodi ya Pamba, bodi wanasimamia zao la Pamba lkn wanatakiwa kuwa karibu na idara ktk kila kitu wanachokifanya utakuta Afisa Kilimo anazuia Pamba chafu lkn mtu wa bodi akifika basi anapewa hela anaruhusu inunuliwe tena anawambia huyo Afisa Kilimo asiwasumbue
3. Bei ya zao la Pamba
Hapa ndo majanga KBS, bodi imeshindwa kusimamua bei nzuri ya Pamba ,hivyo wkt wote Mkulima anaibiwa kuna mwaka nilijaribu kulima akari 1 baadaye nikajikuta nimepata hasara ya laki 430000/= makampuni yanayonunua Pamba yanarobb hawa wa bodi kiasi cha kushindwa kufanya chochote hivyo Mkulima anapata hasara sema wao hawajui akiuza akapata hela kiasi basi anaona kapata hela kumbe hasara kubwa amekula
3. Mifumo mibovu ya usimamizi wa hili zao, bodi haina utaratibu mzuri wa kumfikishia Mkulima input kama MBEGU na hata zikija basi zimeoza nyingi na hivyo itamlazimu Mkulima maskini anunue MBEGU nyingi ili kufill gap maana nyingi haxioti, mbegu nzuri haya makampuni utengeneza Mafuta kumbuka bodi lazima wazihakiki mbegu kwz kufanya germination test kabla ya kuja kwa wakulima, dawa za vinyunyizi haziji kwa wakati na hata hizo zinaxokuja haziui wadudu effectively
Hizo ni baadhi ila ndugu zangu hii bodi ni jipu kubwa linalozolotesha zao LA Pamba nchini nakumbuka PM alisema atashughulikia matatizo ya zao la Pamba na tumemkumbusha, tunategemea aifumue upya aipe meno kuwabana wafanyabiashara wana siasa wanaotoka kwa kuwanyonya wakulima
Kwa sasa wakulima wanadhulumiwa sana ndo maana wanatia Maji, mchana nk ili Pamba iwe nzito zaidi maana wanaibiwa kweny mzani pia , baadaye mnunuzi anaalika watu wanaogea kweny Pamba haya yote bodi inatazama kupitia watu wake waliosambaa maeneo mengi.
Tumeanza kujizatuti kwa zao la alizeti ili liwe mbadala wa Pamba mpk mambo yakiwa mazuri lkn mambo yakiendelea hivi na hii bodi basi huku wilayani kwangu Pamba itafutika ingawa hawa watu wakikariri kitu hawaachi
Tunaanza miradi mwaka wa fedha 2016/17 lkn tunajikita kw alizeti, choroko na mbaazi zina faida kwa wakulima kuliko Pamba chini ya bodi ya Pamba
Ahsante ni
Kuna wakati miaka ile Mwl. Nyerere aliwahi kusema wakulima wanaweza kulima bila hata ya uwepo wa mabwana shamba hasa wa aina yako. Huna aibu, fanya pamba haifanyi vyema, ni zao gani huku kanda ya ziwa linalofanya vizuri chini ya usimamizi wa ofisi ya kilimo? Ofisi ya kilimo huna aibu kupanua mdomo kulaumu bodi, afadhali nasikia angalau bodi inapeleka mbegu. Halmashauri inapeleka nini kwa wakulima hadi iwe ikichukua 5% ya bei ya wakulima. Unatamba hadharani pamba inafutika wakati ndo zao pekee halmashauri zinapata cessy bure bila jasho. Hizo choroko na mbaazi, unalo soko wapi wewe mbumbumbu. Suala la watumishi wengi kuwa wa kiislam hii ni hoja ya kijinga. Nijuavyo bodi zote za mazao ni taasisi za serikali na utaratibu wa ajira za serikali unajulikana. Acha chuki za kidini kaka. Wewe na ukiristo wako pamoja na utaalam wako wa kilimo umesaidia nini huko simiyu kila mwaka chakula cha msaada toka serikalini. Usijiweke uchi kaka, ni wajibu wako pia kuangalia hayo masuala ya uotaji na utoaji elimu juu ya matumizi sahihi ya viuadudu. Dawa haziui, kwani bodi ni tpri. Inawezekana wewe siyo bwana shamba.
Sema zao moja tu ambalo kwa u extensionist na usimamiaji wako wa miongozo limefanikiwa katika wilaya unayosimamia. Wewe hutoi mbegu ndiyo, je bodi watalaamu wa mbegu? Mtalaamu gani wa kusimamia miongozo hujui kama kuna ASA na TOSCI. Kwenye cessy itokanayo na pamba unahusika lakini kwenye kusimamia zao Bodi. Mvivu wakubwa wa kufikiri.Yawezekana wew ni kati ya wajinga wanaofanya kazi bodi ya Pamba wakati huna hata utaalam wa Kilimo cha zao la Pamba
Hiyo bodi ivunjwe wew fala ukafanye kazi ulizozisomea si kuibia wakulima
Umeambiwa ofisi ya Kilimo tunatoa MBEGU jinga nn
Its only extension service kwa wakulima na kusimamia muongozo mingine ya serikali
Bado hujasema vizuri bwana mdogoSema zao moja tu ambalo kwa u extensionist na usimamiaji wako wa miongozo limefanikiwa katika wilaya unayosimamia. Wewe hutoi mbegu ndiyo, je bodi watalaamu wa mbegu? Mtalaamu gani wa kusimamia miongozo hujui kama kuna ASA na TOSCI. Kwenye cessy itokanayo na pamba unahusika lakini kwenye kusimamia zao Bodi. Mvivu wakubwa wa kufikiri.