Bodi ya Pamba: Mfano wa kuigwa Duniani

Bodi ya Pamba: Mfano wa kuigwa Duniani

Mleta mada unataka watu wakutukane? Bodi imesaidia kuleta mbegu mbaya kwa kushirikiana na waarabu na wahindi wenye jineri, bodi imewapa uhuru wahindi kutunga bei zao...Geite bei nyingine na Bariadi nao bei yao, bodi imeshiriki kuua Nyanza, Shirecu, Tarecu, Bodi imeruhusu wakulima kukopwa mazao na mpaka leo hawajalipwa, tafadhali mkuu fanya utani mwingine
 
Pamoja na kwamba mtoa hoja kawapamba bodi isivyostahiki na pengine kaamua tu kutoa hoja ili asikilize perception ya watu kuhusu bodi, bahati mbaya na wewe pia comments zako zinaonesha usivyojua kitu. Suala la bei kwa mfano mpaka uwaulize bodi, kwa hivyo bei ya petroli mpaka uwaulize ewura, shame on you. Kwamba soko kubwa la pamba duniani nalo mpaka uwaulize bodi (great thinker). Labda Kwenye issue ya kuvutia uwekezaji hapo unaweza kuwa na hoja, lakini kabla ya kuwalaumu tcb ulitakiwa uje na mifano ya taasisi ndogo kama tcb ambayo imevutia huo uwekezaji. Hili ni suala kubwa linalohitaji mkono wa serikali. Tcb walaumiwe kama hawajawahi kushauri chochote serikalini lakini vingine usichangie kitu usichokijua.
Hauna tofauti na majengo yaliyochakaa ya bodi ya Pamba,akili yako imechoka,nafikiri unahitaji ovehauli,nasisitiza tena hii ni bodi iliyokosa ubunifu,kwa ahadi ya rais kuhusu vyama vya ushirika na bodi zake za mazao,ahadi za rais kwa wananchi hazitatimia kama kutakuwa na bodi za kikondoo kondoo,tunahitaji bodi iliyochangamka,ifanye Kazi kisasa kwa kutumia teknolojia mbalimbali za kisasa za mawasiliano zitakazowafanya wawasiliane na wakulima kirahisi,tunahitaji bodi yenye spidi kali kama ya magufuli sio wamekaa maofisini na kujaza mafaili ambayo hayana maana,hii bodi pamoja na bodi nyingine ni mzigo kwa kuleta pembejeo za hovyo hovyo zinazomtia hasara mkulima,bodi zimejaa watu ambao hawajui hata kulima bali ni wapiga maneno tu
 
Kwa taarifa yenu serikali haiko tayari kutukanwa kwa ajiri yenu, mmeshindwa kuisimamia sekta ya Pamba,sasa hapo mnafanya nini? Wakulima wanakata tamaa na nyie Hamna cha kuwasaidia,hamjui mmewekwa hapo kufufua matumaini? Kama mmeshindwa si mjiengue? Safari hii kanda ya ziwa na maeneo yalimayo Pamba yatawatokea puani,hatukubali muwatie hasara wananchi,Tanzania ya viwanda vya nguo itapatikanaje kama bodi ya pamba imefanana na kikundi cha wanywa gongo wamelewa chakari hawajui mbele wapi na nyuma wapi? Hivi ahadi ya Tanzania ya viwanda ya mh rais hamkujua inawagusa? Tunasubiri tuwaone mnapanga bei ya Pamba kama mnavyopanga bei ya fanta ya gongo namba wani
 
Bodi haina ukurasa Facebook Wala twita wala kokote ambako vijana wamejaa,mtawapataje ili muwasaidie na kuwashawishi wawe wakulima wa pamba? Yaani mnatembea na viroba vya mbegu ambazo hazioti
 
Mleta mada unataka watu wakutukane? Bodi imesaidia kuleta mbegu mbaya kwa kushirikiana na waarabu na wahindi wenye jineri, bodi imewapa uhuru wahindi kutunga bei zao...Geite bei nyingine na Bariadi nao bei yao, bodi imeshiriki kuua Nyanza, Shirecu, Tarecu, Bodi imeruhusu wakulima kukopwa mazao na mpaka leo hawajalipwa, tafadhali mkuu fanya utani mwingine
Nafikiri forum hii tuitumie kuelimishana baadhi ya mambo ambayo tuna fununu nayo. Nimesema kwa mwanzisha mada kwamba sifa alizotoa kwa bodi zimetiwa chumvi sana,lakini pia si sawa kuwapa lawana zisizo za kweli. Naomba nisaidie kama ifuatavyo:-
1) Katika nchi yetu bado hatujaweza kuwa na mfumo maalumu wa kuwa na mbegu bora hasa kwa mazao yote makuu, matumizi ya mbegu bora nchini ni chini ya 20%. Bodi siyo wataalamu wa mbegu na wala hawazalishi mbegu na si jukumu lao kwa mjibu wa sheria za pamba. Wanachofanya bodi ni kumtafuta yeyote mwenye mbegu zozote (recycled seeds) awe mzungu, mhindi, mwarabu, mkurya, msukuma, mmakonde ama yeyote apeleke mbegu kwa wakulima. Ni wajibu wa wadau wote kwa pamoja kuhakikisha kwamba mfumo bora wa mbegu unatafutwa.
2) Kuhusu bei: Serikali ya TZ haina power ya kupanga bei, wanaopanga bei ni watumiaji wakuu wa pamba ambao pia ndo wazalisha wakuu wa pamba (market share ya TZ ni below 1% kwenye world market). Serikali inachofanya kwa kushirikiana na wadau wote wakiwamo wawakilishi wa wakulima ni kufanya translation ya bei iliyoko sokoni Newyork na kuibadirisha kwa pesa zetu na ndo anayopewa mkulima baada ya kutoa gharama zinazohusika. Bei inayotangazwa na serikali ni elekezi kwamba hakuna mnunuzi anaruhusiwa kushuka chini ya hapo lakini kupanda juu ni ruksa. Kwamba geita bei iko chini kuliko bariadi hilo pengine siwezi kulisemea lakini naona lingekuwa kosa la bodi kama bei ya geita ni chini ya bei elekezi. Lakini vinginevyo ni masuala ya uhuria.
3) Wakulima kukopwa: Ushirika ulipoanza kuteteleka na hatimaye kufa katika baadhi ya mikoa ulikufa na pesa ya wakulima. Kama hoja zako si za makusudi nakuomba utenge muda kidogo ili ufanye utafiti ili ujue ni nani kakopa wakulima kati ya ushirika na hao binafsi. Kwa uhakika waliokopa wakulima na hawajalipa hadi leo ni ushirika.
4) Bodi kuua ushirika: mie sidhani kama hili ni la kweli, labda tuseme mfumo ndo umeua ushirika (soko huria). Kama zilivyo taasisi zingine za serikali zilizokufa NIC, THB, POSTA, TRC etc, ushirika nao ulikuwa umeanza kuteteleka hata kabla ya soko huria. Bodi kwa mjibu wa sheria ni Regulatory body na kwa hivyo kanuni zinazotumiwa kwa private co. ndo hizo hizo zinatumiwa kwa ushirika. Tatizo liko wapi?
Naweza kuwa siko sahihi sana lakini hizo lawama zako kwa Tcb hazina ukweli wowote.
 
Hauna tofauti na majengo yaliyochakaa ya bodi ya Pamba,akili yako imechoka,nafikiri unahitaji ovehauli,nasisitiza tena hii ni bodi iliyokosa ubunifu,kwa ahadi ya rais kuhusu vyama vya ushirika na bodi zake za mazao,ahadi za rais kwa wananchi hazitatimia kama kutakuwa na bodi za kikondoo kondoo,tunahitaji bodi iliyochangamka,ifanye Kazi kisasa kwa kutumia teknolojia mbalimbali za kisasa za mawasiliano zitakazowafanya wawasiliane na wakulima kirahisi,tunahitaji bodi yenye spidi kali kama ya magufuli sio wamekaa maofisini na kujaza mafaili ambayo hayana maana,hii bodi pamoja na bodi nyingine ni mzigo kwa kuleta pembejeo za hovyo hovyo zinazomtia hasara mkulima,bodi zimejaa watu ambao hawajui hata kulima bali ni wapiga maneno tu
Unaonekana hauelimishiki kirahisi. Rais akisema kitu usifikiri kinatekelezwa kwa mawazo ya upofu kama hayo yako. Jifunze kwanza bodi zinafanya kazi vipi, elewa majukumu yake kwa ndani halafu ndo uchangie.
 
Siku zote najiuliza iweje zao lilimwe Tanzania na kupelekwa nchi jirani kwa bei nzuri kwa mkulima lakini kwenye bodi zetu mkulima apate bei ndogo?
Wapi kuna tatizo?
Magufuli tumbua hilo kuwasaidia wakulima
Bodi inayoruhusu wakulima kuuziwa mbegu zilizooza.basi wakulima hamjajitambua
 
Nafikiri forum hii tuitumie kuelimishana baadhi ya mambo ambayo tuna fununu nayo. Nimesema kwa mwanzisha mada kwamba sifa alizotoa kwa bodi zimetiwa chumvi sana,lakini pia si sawa kuwapa lawana zisizo za kweli. Naomba nisaidie kama ifuatavyo:-
1) Katika nchi yetu bado hatujaweza kuwa na mfumo maalumu wa kuwa na mbegu bora hasa kwa mazao yote makuu, matumizi ya mbegu bora nchini ni chini ya 20%. Bodi siyo wataalamu wa mbegu na wala hawazalishi mbegu na si jukumu lao kwa mjibu wa sheria za pamba. Wanachofanya bodi ni kumtafuta yeyote mwenye mbegu zozote (recycled seeds) awe mzungu, mhindi, mwarabu, mkurya, msukuma, mmakonde ama yeyote apeleke mbegu kwa wakulima. Ni wajibu wa wadau wote kwa pamoja kuhakikisha kwamba mfumo bora wa mbegu unatafutwa.
2) Kuhusu bei: Serikali ya TZ haina power ya kupanga bei, wanaopanga bei ni watumiaji wakuu wa pamba ambao pia ndo wazalisha wakuu wa pamba (market share ya TZ ni below 1% kwenye world market). Serikali inachofanya kwa kushirikiana na wadau wote wakiwamo wawakilishi wa wakulima ni kufanya translation ya bei iliyoko sokoni Newyork na kuibadirisha kwa pesa zetu na ndo anayopewa mkulima baada ya kutoa gharama zinazohusika. Bei inayotangazwa na serikali ni elekezi kwamba hakuna mnunuzi anaruhusiwa kushuka chini ya hapo lakini kupanda juu ni ruksa. Kwamba geita bei iko chini kuliko bariadi hilo pengine siwezi kulisemea lakini naona lingekuwa kosa la bodi kama bei ya geita ni chini ya bei elekezi. Lakini vinginevyo ni masuala ya uhuria.
3) Wakulima kukopwa: Ushirika ulipoanza kuteteleka na hatimaye kufa katika baadhi ya mikoa ulikufa na pesa ya wakulima. Kama hoja zako si za makusudi nakuomba utenge muda kidogo ili ufanye utafiti ili ujue ni nani kakopa wakulima kati ya ushirika na hao binafsi. Kwa uhakika waliokopa wakulima na hawajalipa hadi leo ni ushirika.
4) Bodi kuua ushirika: mie sidhani kama hili ni la kweli, labda tuseme mfumo ndo umeua ushirika (soko huria). Kama zilivyo taasisi zingine za serikali zilizokufa NIC, THB, POSTA, TRC etc, ushirika nao ulikuwa umeanza kuteteleka hata kabla ya soko huria. Bodi kwa mjibu wa sheria ni Regulatory body na kwa hivyo kanuni zinazotumiwa kwa private co. ndo hizo hizo zinatumiwa kwa ushirika. Tatizo liko wapi?
Naweza kuwa siko sahihi sana lakini hizo lawama zako kwa Tcb hazina ukweli wowote.
Jipu lako liko kwenye ubongo,umegoma kubadilika wala kuiomba serikali ibadili sheria ya TCB lwa sababu inafaidika nayo,unajitoa kwenye kila jukumu ili wakulima wakueleweje?hayo uliyoandika hapo akiyasoma mkulima anakata tamaa na uwepo wa hiyo bodi parasite na kupe mkubwa,jitafakari kabla ya kuleta majibu ya kijuu juu,magufuli fumua hoi kitu haraka,
 
Wewe utakua umetumwa, hakuna sehemu ili oza kama bodi ya pamba. Wakulima wanalia kila siku kutoka na hiyo bodi. Wao wanatazama maslahi yao. Kama wangekua wasafi basi hakuna hata ginnery moja ingepewa ruhusa ya kununua pamba.
 
Wakulima wanakimbia kulima zao la pamba kwa sasa,wanahamia katika kilimo cha alizeti,ufuta.Bei ya pamba ni hovyo kabisa
Ni haki yao kabisa, mkulima anahangaika kulima pamba tena kwa gharama kubwa halafu utasikia bei iliyo pangwa ni ya kishenzi kabisa. Halafu linakuja swala la kukopwa halafu halipwi.
 
Jipu lako liko kwenye ubongo,umegoma kubadilika wala kuiomba serikali ibadili sheria ya TCB lwa sababu inafaidika nayo,unajitoa kwenye kila jukumu ili wakulima wakueleweje?hayo uliyoandika hapo akiyasoma mkulima anakata tamaa na uwepo wa hiyo bodi parasite na kupe mkubwa,jitafakari kabla ya kuleta majibu ya kijuu juu,magufuli fumua hoi kitu haraka,
Jaribu kufanya kama nilivyokuelekeza baada ya muda utaelewa.
 
Huyu ni mjumbe wa BODI hii aogopwe kama UKOMA!!

Kati ya BODI inayopaswa kufutwa na wajumbe wake wote kupigwa ni hii.

Tangia Nyerere atoke hawana hata JENGO JIPYA!!

Kati ya Mwanza au Mara au Shinyanga semeni popote pale mlipo wezesha kilimo cha Umwagiliaji? Bado mnategemee Kudra za Mwenyezi Mungu-mvua!!!

Bodi yenyewe ya PAMBA kanda ya ziwa wajumbe wake ni wamiliki wa kampuni za Pamba na wanunuzi wakuu wa Pamba. Mwenyekiti wao akiwa Kada wa CCM , MWITA GACHUMA (Mwenyekiti wa Bodi na mnunuzi mkuu wa Pamba).

Bei zenyewe elekezi hupangwa na wanunuzi hawa!! Bei zenyewe ndogooooo!!! na mara nyingine mnawakopa wakulima Pamba yao!!
Huna hata aibu kuja hapa kwa kujisifu UJINGA? Mkoa wa Mara hasa musoma Vijijini walikuwa wakulima wazuri wa Pamba, ila kutokana na ukame (mvua haba), bei ndogo na hasara (analima kwa laki 3 nauza mazao kwa laki 2) hivyo vijana kuachana na kilimo na kujikita ktk UVUVI!!

Dawa zenyewe mnazowapa wakulima haziuwi wadudu. Pia ni ghari kwa Wakulima. Mkulima anapaswa kulipa regardless ya Faida au Hasara. Na mara nyingi hamsambazi kwa wakati dawa wala mbegu hizo!!

SIKIPENDI kiswahili chenu cha PEMBEJEO wakati mnawauzia Mbegu feki, na dawa feki tu. Hata mbolea hamna!!!

Kati ya majipu, hili ni JIPU kuu!!

Miaka ya 1990s mbegu zilikuwa bure, na bei ya Pamba safi ilikuwa Tshs 150/= to Tshs 250/= per KG. Kwasasa Bei ni kati ya Tshs 500/= to Tshs 1,000/= gharama za uzalishaji zimeongezeka mara dufu ya bei ya kuuza Pamba. Mbegu mnazowauzia hazioti kabisaaa!!
Na bei ya Pamba ya Tz imeshuka sana katika soko la dunia!! Mmeboresha nn mnachojisifu nacho?
Ebu weka hapa data zako in NUMBERS tuzione basii!! Ebu onesha Tonnes za Pamba kwa Mwaka 2000 na mwaka 2015 tuone utafauti wa uzalishaji? Export/ Home retained cotton!!

Hizi zama ni za FACTS tu!! Porojo peleka kwa JK!!

Msiwe mnaleta hapa habari za Uongo ili msitumbuliwe. Uncle MAGU tumbua hawa.

Viwanda vya Pamba, Mara Oil, Musoma Textile, Sungura Textile, Urafiki, Mwanza Textile vimekufa kwa sababu ya Ujinga ya hii BODI!!
 
Ni haki yao kabisa, mkulima anahangaika kulima pamba tena kwa gharama kubwa halafu utasikia bei iliyo pangwa ni ya kishenzi kabisa. Halafu linakuja swala la kukopwa halafu halipwi.
Mkulima anaandaa Shamba kwa gharama kubwa kwa matrekta,vibarua,halafu anapewa mbegu ambazo hazioti,anasubiri were hakuna mmea unaoota,anayesimamia zao hajawahi kutoa kauli,anakata tozo tu
 
Siku zote najiuliza iweje zao lilimwe Tanzania na kupelekwa nchi jirani kwa bei nzuri kwa mkulima lakini kwenye bodi zetu mkulima apate bei ndogo?
Wapi kuna tatizo?
Magufuli tumbua hilo kuwasaidia wakulima
bodi za mazao zilikuwa nyenzo za wakoloni kutunyonya. baada ya uhuru bado zinaendelea kufanya hivyo.
 
Mwigulu hili jipu linahitaji mkuki,limekuwa Nene sana,piga kambi ya wiki kanda ya ziwa waite bodi ya pamba, wape laivu halafu kawachongee kwa magufuli
 
bodi za mazao zilikuwa nyenzo za wakoloni kutunyonya. baada ya uhuru bado zinaendelea kufanya hivyo.
Bodi hazina faida hata kidogo. Wamekuwa makupe kuwanyonya wakulima. Zifutwe ili kuunda vyombo vidogo ndani ya wizara husika kuwasaidia wakulima. Hela za wakulima ndiyo zinaendesha bodi.
 
kukabiliana hili jini ni wakati wakulima wajiundie vyama vya hiari ambavyo watavitumia kujitafutia masoko na mambo mengine.
 
Bodi hazina faida hata kidogo. Wamekuwa makupe kuwanyonya wakulima. Zifutwe ili kuunda vyombo vidogo ndani ya wizara husika kuwasaidia wakulima. Hela za wakulima ndiyo zinaendesha bodi.
Kweli kabisa
 
Back
Top Bottom