BODI YA MIKOPO washaita kweli coz ni robo mwaka SASA

Tungaraza Jr

Senior Member
Feb 3, 2012
196
48
Hivi kuna mwenye mchakato wa kilichoendelea? Kulikua na nafasi kama 17 hivi pale, cha kushangaza hadi leo kimya au wanatusahaulisha kwanza?
 
Hivi kuna mwenye mchakato wa kilichoendelea? Kulikua na nafasi kama 17 hivi pale, cha kushangaza hadi leo kimya au wanatusahaulisha kwanza?

nakumbuka niliitwa kwenye oral tarehe 24 mwezi january,bt nimecheck na wenzangu tuliofanya oral baadhi washapigiwa simu waende kazini since tarehe 7 mwezi wa pili.kifup watu washaanza kazi.
 
mkuu watu washaajiliwa muda mrefu,kuna mtu namfahamu kaitwa last month....!never give up
 
Back
Top Bottom