Pelle mza
JF-Expert Member
- May 15, 2008
- 3,050
- 1,694
CHADEMA ilisema kwenye ILANI yake ya kampeni za 2015 kwamba ELIMU bure haiwezekani!Kuna nchi nyingi sana zinasomesha vyuo vikuu bure.. kwanini isiwe Tanzania.
CHADEMA ilisema kwenye ILANI yake ya kampeni za 2015 kwamba ELIMU bure haiwezekani!Kuna nchi nyingi sana zinasomesha vyuo vikuu bure.. kwanini isiwe Tanzania.
👏👏👏👏4. Ili kuboresha urudishaji wa madeni basi kila anayeomba sharti awe na kitambulisjo cha taifa .
Rudia kusoma tena mkuu utaelewa nilikwa namaanisha nini.Wakati mwingine hizo chuki zenu wekeni pembeni, tujadili vitu vya msingi issue ni bodi ya mikopo sasa tawala za awamu ya nne inaingiaje hapo?
Kwa nguvu ya mtandao naomba tusaidiane kupaza sauti juu ya udhalimu na unyanyasaji wa kupindukia kwa watu maskini unaofanywa na bodi ya mikopo juu ya wanufaika wa mikopo hiyo.
[/QU
Thanks to God hatuna bundukiHii kitu inaumiza sana
Unakatwa kwenye salary, makato hayapelekwei na hazina. Ukija kuenda deni limepaa. Ukiwaambia wanajifanya kustuka, wanarudishia makato yako na kutoa kwenye deni ulilonalo hivi sasa (Kila siku retention fee inapanda, yaani kila siku deni linakua ....hata Bank sio hivyo.). Yaani ni wizi tu
Mishahara ni ile ile, haijapanda tangu 2015 ila serikali imeongeza makato ya bodi kwa watumishi wake kutoka 8% hadi 15% halafu baada ya hapo wanataka tuwe wazalendo.
Bora ukope bank ulipe hili deni, ni nafuu sana
unawasomesha kama kweli.....watoto wa unaowaita masikini bure sekondary na msingi.wakifika vyuo vikuu ghafla baba zao wanakuwa matajiri. anayeshindwa kulipa 20000/= atwezaje 1000000?Uwepo wa bodi ya mikopo ni dalili tosha kwamba tumedhamiria kuwakandamiza watoto wa maskini kwa nguvu zote.
Pili bodi ya mikopo nafanya kazi kwa kubahatisha sana kiasi cha kuwavambikia hawa maskini madeni ambayo hata siyo yao kwa sababu wanajua kwa umaskini wao hawataweza kwenda mahakamani.
Tatu wafanyakazi wa bodi ya mikopo ni moja ya watumishi wenye lugha za hovyo sana utadhani tumewalazimisha ajira.
Ni bora tungekua tunakopa kwenye banks kuliko huu ujanja ujanja wa serikali wakagi pesa ni zetu .. sisi ndio tunaolipa kodi.
Mapendekezo
1. Serikali iangalie upya swala la marejesho isizidi 5%
2. Retention fee isizidi 1%
3. Bodi ya mikopo ijipange .. Isiumize wachache ambao wamejitolea kulipa kufikia malengo ya 80% ambao bodi imeshindwa kuwafikia.
4. Ili kuboresha urudishaji wa madeni basi kila anayeomba sharti awe na kitambulisjo cha taifa .
Tunatengeneza taifa maskini kwa mikono yetu.
Kuna nchi nyingi sana zinasomesha vyuo vikuu bure.. kwanini isiwe Tanzania.
. Kwako *Dr.John Pombe Magufuli*
Bodi ya Mikopo imewanufaisha watanzania wengi sana ikiwa ni pamoja na kuwajengea watanzania misingi ya kielimu kwa ajili ya future katika maisha yao . Aidha, Asilimia 80 ya wanufaika wa mikopo ya bodi ni wale kina KAYUMBA Yaani watoto wa maskini.
Sheria ya mwaka 2016 ya bodi ya mikopo iliyofanyiwa marekebisho ni sheria *ANGAMIZI* kwa watoto maskini.
*Sheria imeweka wazi ( Watz wengi hawana tabia ya kujisomea) kuwa marejesho ya mkopo yatakuwa ni kwa 15%, na deni hilo litakuwa linaongezeka kila mwaka wa fedha kwa asilimia 6% ya deni halisi la mwanzo.*
Kwa mfano.
*Daktari ambae amesomeshwa na bodi, asilimia kubwa deni lao huwa kati ya mil 25 mpaka 30.*
Basic salary yake ni 1.5 Mil
Makato ya mshahara wake ni kama ifuatavyo
Helsb 225, 000 TSH
PAYE 295,090 TSH
NHIF 42,420 TSH
Pension. 80, 000
Total deduction 642, 510 TSH
take home yake ni 857,590 TSH —ana watoto na anasomesha!
-----------------------------
Kwa sheria ya bodi ya mikopo, huyu bwana kwa mwaka ataweza kulipa 2.7Mil ( 225,000X12)
Hivyo katika deni lake la 30Mil , atakuwa amepunguza deni lake hadi 27, 300,000TSH ikifika mwisho wa mwaka wa fedha.
Mtu huyu atapaswa kuanza mwaka wa fedha mpya akiwa na deni la 27, 300, 000 TSH.
Lakini sheria ya bodi inasema hapana, unatakiwa kuongezewa 6% ya 30 mil ambayo ni 1.8 Mil
Hivyo deni analopaswa kuanza nalo ni 27,300,000+ 1.8 Mil sawa na 29, 100, 000 TSH.
Kwa mwaka unaofuata tena, atafanikiwa kuipunguza hiyo 29,100,000 Mil hadi 26,400,000 Mil na ndiyo ni kianzio cha deni lake kwa mwaka mpya uliofuata.
Sheria ya bodi itasema hapana, hii 26,400,000 lazima iwekwe 6% ya 30Mil ambaye ni 1.8
Hivyo 26,400,000+ 1.8 mil
Deni jipya kwa mwaka mpya uliofuata itakuwa ni 28,200,000Mil badala ya 26,400,000 and the list goes on.
Yaani utakuwa unakwenda mbele na kurudi nyuma mpaka unastaafu.
Sheria ya mwaka 2016, inazidi kusema kuwa, ikiwa muhusika mpaka anastaafu, hajafanikiwa kumaliza deni lake, basi pension yake itafidiwa.
Yaani, Ikiwa una pension ya 15 Mil , na deni lako lilibaki 20 Mil , Bodi itakula zote 15 Mil na itakudai 5 Mil na hiyo 5 mil itazidi kuongezeka kadiri miaka inavyokwenda mbele, ni hatari sana na mbaya zaidi watumishi wengi hawajui hii sheria.
Ikitokea pension yako imeliwa yote na bodi,maana yake unazeeka ukiwa huna kitu.
I just can't figure it out , ni sheria kandamizi dhidi ya mtoto maskini iliyopitishwa na wabunge wetu tukufu.
Ni kwamba mtoto wa maskini hatoweza kumaliza hili deni , ni deni la maisha hasa waliosoma makozi ya sayansi kama udaktari, Nesi, famasi , na injinia na wale waliosoma nje ya nchi.hawa wote madeni yao si chini ya 25Mil or so. It is a detrimental to these poor people, and Unfair.
Mapendekezo
1. Serikali ipitie upya hii sheria, na ifutilie mbali hiyo incremental ya 6% kwa kila mwaka, it is not even practical, watu wengi wanakufa na hayo madeni tena bado yakiwa makubwa mno.
2. Irudishwe asilimia 8% au 10% badala ya 15% ya makato ya bodi, kwa sababu watumishi wa umma ndiyo wanufaika na hii mikopo, na wengi wanaangamia hali zao malikiti sokoni.
3. Bodi ya Mikopo itoe elimu maredioni juu ya utaratibu wa urejeshwaji wa haya makato WaTZ wengi haijui kitu kuhusu mambo ya sheria.
4. Sheria ya kuchukua pension ya watumishi walioitumikia serikali hadi kustaafu itolewe kwa Sababu ni mateso makubwa yatakuwa kwa hawa watu na hii ni jamii yetu inayoitumikia serikali ya Jamhuri miaka nenda rudi.
Watumishi wa umma wengi wanastaafu wakiwa maskini na fukara, uwachukulie tena hizo pesa za pension, kweli ? Doh tutapata laana katika nchi.
USHAURI.
1. Kwa wazazi ambao wanajiweza, achaneni na mambo ya kuwasukumizia watoto wenu kwenye mikopo mpaka muelewe vyema sheria ya marekebisho, hiki ni kilema cha maisha kwa wale ambao deni lao ni above 20Mil.
2. Pia wahusika hakikisheni mnaipitia hii sheria na muelewe marejesho yake, you need to take precaution. Kama huelewi mtafute Mwanasheria akuelewesheni ni hatari sana fuatilieni haya mambo.
Rais JPM tunaomba ufanyie kazi hayo mapendekezo kwa heshima na taadhima .
*Wako Raia Mwema.*

bodi ni ya kihuni serikali inajifanya amna knachoendelea lakini kuna siku watu watalipuka lakini itakuwa too lateHuyu aliye andika hii barua hana akili.. na hazimo kabisa.
Anasema wastani wa kumaliza deni ni miaka 4 .
Kisha anasema penati inaanza baada ya miaka 2
Kwanini mnapiga penati wakati mnajua hakuna atakaye kuwa amemaliza deni..
Ndio maana napata ujasiri wa kusema hana akili aliye andika hui waraka.
Kweli ni post nzuri, ila nina wasiwasi na alivyo kokotoa hiyo nyongeza ya 6% ya mkopo kila mwaka wa fedha, sababu nilivyo ona huo utoaji wa hiyo mikopo ya masomo ya juu nikama wame copy na ku paste toka nchi za hapa Ulaya, ila wao wamezidisha sana asilimia za marejesho. hiyo 6% huwa ina kokotolewa kutokana na deni unalo anzanalo katika mwaka ule wa fedha na sio deni Original, kwa hiyo kama mwaka ulio pita ulidaiwa milioni 30 umelipa milioni tufanye 2, kwa hiyo mwaka huu unaanza na deni la milioni 28 kitakacho ongezeka ni 6%*28 millioni nikama nyongeza ya 1.6millioni, kwa hiyo kadili unavyo lipa deni ndivyo nyongeza inavyo pungua. Lengo ni kuwasukuma watu walipe madeni yao, yule ambaye halipi deni lake ndio linaongezeka zaidi.
Kwahiyo ukichukua mil 28 +1.6m=29.6 tofauti ya laki nne tu, sasa hapo unakuwa unalipa deni au una maktaimu?Kweli ni post nzuri, ila nina wasiwasi na alivyo kokotoa hiyo nyongeza ya 6% ya mkopo kila mwaka wa fedha, sababu nilivyo ona huo utoaji wa hiyo mikopo ya masomo ya juu nikama wame copy na ku paste toka nchi za hapa Ulaya, ila wao wamezidisha sana asilimia za marejesho. hiyo 6% huwa ina kokotolewa kutokana na deni unalo anzanalo katika mwaka ule wa fedha na sio deni Original, kwa hiyo kama mwaka ulio pita ulidaiwa milioni 30 umelipa milioni tufanye 2, kwa hiyo mwaka huu unaanza na deni la milioni 28 kitakacho ongezeka ni 6%*28 millioni nikama nyongeza ya 1.6millioni, kwa hiyo kadili unavyo lipa deni ndivyo nyongeza inavyo pungua. Lengo ni kuwasukuma watu walipe madeni yao, yule ambaye halipi deni lake ndio linaongezeka zaidi.
Ila ushauri wangu mimi nikuwa mwanafunzi anaye soma mpaka kumaliza masomo yake vizuri basi serikali imsaidie 40% ya malipo au hata zaidi kwa kadiri watakavyo ona, bali yule anayeishia njia bila sababu muhimu kama matatizo ya kiafya namengineyo basi alipe mwenyewe pesa yote aliyo kopa na nyongeza.
Kwahiyo ukichukua mil 28 +1.6m=29.6 tofauti ya laki nne tu, sasa hapo unakuwa unalipa deni au una maktaimu?
ukishawalipa deni lao wao wanaendelea kukata tu ,ukifanikiwa kustopisha makato ,tabu inakuja kwenye ishu ya kurudishiwa makato yaliyozidi . Utasikia andika barua after 3months malipo yatakuwa tayari lkn wapiii? Ni zaidi miezi 8 sasa watu hawajalipwa madeni yao yanayotokana Na makato yaliyozidi.
Sijui walalamike wapiii