Kichwa cha habari cha husika,
Mimi ni mwanafunzi niliyepata udahili kwenye chuo kimoja cha serikali, kozi ya engineering
Mimi ni yatima kabisa na sina ndugu mwenye kipato cha kunisomesha, tegemeo langu kubwa lilikua bodi ya mikopo ila mpaka sasa batch 2 zote sijapangiwa mkopo licha ya kukamilisha taratibu zote zinazohitajika na bodi ila kila batch naona nasogezwa mbele, matumaini yote yamekata na sijui cha kufanya.