GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,016
Maskini ya Mungu;
Kumbe hata ya Libya huyajui!!
Usije hata siku moja ukategemea demokrasia ya kubambikiziwa na mataifa ya magharibi.
Libya walikuwa poa sana hadi walipolazimishiwa demokrasia ya 'kidhungu' yanayotokea baada ya hapo ni aibu hata kusimulia.
Rejea historia ya Libya tangu mwaka 1990 hadi ulipotokea huu ushenzi wa Arab Spring utajua ninachokiongelea.
Na Arab Spring wajua ilianzishwa na nani na kwa malengo yapi?
Zinduka.
Wazungu ndio walio Leta democracy Tanzania na wakaweka masharti yao,bila ya kufuata masharti hayo hata huyo magufuli hatakanyaga Europe na America tukiwacha na Misaada.
Sisi tupo nyuma ki technology kwa miaka 100 na maendeleo 50 miaka, hivi kweli wa kukataa Misaada?