Bodi ya MCC yainyima Tanzania fedha za msaada

Bodi ya MCC yainyima Tanzania fedha za msaada

Duh, madhara ya kuwa tegemezi ndo haya,tangu tuikwepe siasa ya ujamaa na kujitegemea hali umekuwa ya kuwapa wakubwa gold nakusbiri misaada

Kweli kabisa.
Wanachochukua ni kikubwa kuliko wanachoturidishia.
Afu kwenye huu uchaguzi, hao wamarekani etc walikuwa na mgombea wao wanayemtaka na wachina plus russia walikuwa na mgombea wao.
Wasituyeyushe kabisaaa
 
Kabla ya kuanza ushabiki me nadhani tujifikirie sote kwa kina, ni kwanini hiyo misaada imezuiliwa na impact yake katika nchi yetu kwa huu wakati tuliopo. Je hizo sababu zao zina mashiko?

Tusiwalaumu hao jamaa walioshika makali, kiukweli nchi yetu inahitaji huo msaada sana ili kumsaidia Rais kutimiza ahadi zake alizotoa kipindi cha kampeni, kwa sasa makusanyo ya ndani hayawezi tutosheleza kwa kila kitu, miradi mingi itakwama na ukizingatia kwa sasa tunasuala la elimu bure na juzi Rais kasema zinatakiwa zaidi ya billion 300 ili kutimiliza hayo.
Bado maeneo mengine ya hadi hayajaguswa hata kidogo, sasa haya mapato yetu ya ndani hayatoshi kamwe na kwa sasa yanaweza pungua zaidi sababu hela haipo kwenye mzunguke, the government is not spending, 90% of daily consumables we are importing, sasa ina maana tunahitaji dollar zaidi. Na project kubwakubwa zote zinazoendelea kwa sasa na zitazoendelea wakandandarasi wote ni makampuni ya kigeni, inamaana tena sio hao hao tunawasaidia to export dollars na uchumi mzuri kwenye nchi wanazotokea hao wakandarasi.

Nadhani hao jamaa wa MCC wamewahi sana kufanya maamuzi, wangelimpa muda Mh Rais angetimiliza tuu yote yanayotakikana kupata huo msaada.
 
Nchi lazima ianze kujitegemea
 
Libya walikuwa wamefikia hapo,madhara ya kubaka Uhuru wa wananchi kujiamulia mambo yao ndio umeifikisha hapo ilipo!

Maskini ya Mungu;
Kumbe hata ya Libya huyajui!!
Usije hata siku moja ukategemea demokrasia ya kubambikiziwa na mataifa ya magharibi.
Libya walikuwa poa sana hadi walipolazimishiwa demokrasia ya 'kidhungu' yanayotokea baada ya hapo ni aibu hata kusimulia.
Rejea historia ya Libya tangu mwaka 1990 hadi ulipotokea huu ushenzi wa Arab Spring utajua ninachokiongelea.
Na Arab Spring wajua ilianzishwa na nani na kwa malengo yapi?
Zinduka.
 
Kabla ya kuanza ushabiki me nadhani tujifikirie sote kwa kina, ni kwanini hiyo misaada imezuiliwa na impact yake katika nchi yetu kwa huu wakati tuliopo. Je hizo sababu zao zina mashiko?

Tusiwalaumu hao jamaa walioshika makali, kiukweli nchi yetu inahitaji huo msaada sana ili kumsaidia Rais kutimiza ahadi zake alizotoa kipindi cha kampeni, kwa sasa makusanyo ya ndani hayawezi tutosheleza kwa kila kitu, miradi mingi itakwama na ukizingatia kwa sasa tunasuala la elimu bure na juzi Rais kasema zinatakiwa zaidi ya billion 300 ili kutimiliza hayo.
Bado maeneo mengine ya hadi hayajaguswa hata kidogo, sasa haya mapato yetu ya ndani hayatoshi kamwe na kwa sasa yanaweza pungua zaidi sababu hela haipo kwenye mzunguke, the government is not spending, 90% of daily consumables we are importing, sasa ina maana tunahitaji dollar zaidi. Na project kubwakubwa zote zinazoendelea kwa sasa na zitazoendelea wakandandarasi wote ni makampuni ya kigeni, inamaana tena sio hao hao tunawasaidia to export dollars na uchumi mzuri kwenye nchi wanazotokea hao wakandarasi.

Nadhani hao jamaa wa MCC wamewahi sana kufanya maamuzi, wangelimpa muda Mh Rais angetimiliza tuu yote yanayotakikana kupata huo msaada.
Ni kweli pesa zinahitajika sana kwa maendeleo!

MCC hawajainyima pesa Tanzania bali faili la Tanzania limewekwa kando kwanza mpaka vidokezo ambavyo walivitoa vikamilike.

Statement yao inasema,
The Board deferred a vote on the reselection of Tanzania and Lesotho for compact eligibility until relevant governance concerns in both countries have been addressed.
Neno muhimu katika statement yao ni DEFERRED

Kwa akili ya kawaida lazima tungefahamu wasingeweza kutoa maamuzi kuhusu Tanzania wakati Uchaguzi wa Zanzibar bado haujamalizika.

Ninakubaliana na uamuzi wao kwa sababu utazileta pamoja pande zit mbili huko Zanzibar ili zifikie kwenye makubaliano haraka.

Kama wangetoa hizo pesa, kulikuwa na hatari ya kumeguka kwa Zanzibar kwa sababu upande mmoja ungepata nguvu zaidi.

Wanadiplomasia husema, mazungumzo huwa yanafanikiwa kama pande zote zinazokinzana zinapokuwa katika hali ya usawa.
 
Kabla ya kuanza ushabiki me nadhani tujifikirie sote kwa kina, ni kwanini hiyo misaada imezuiliwa na impact yake katika nchi yetu kwa huu wakati tuliopo. Je hizo sababu zao zina mashikio?

Tusiwalaumu hao jamaa walioshika makali, kiukweli nchi yetu inahitaji huo msaada sana ili kumsaidia Rais kutimiza ahadi zake alizotoa kipindi cha kampeni, kwa sasa makusanyo ya ndani hayawezi tutosheleza kwa kila kitu, miradi mingi itakwama na ukizingatia kwa sasa tunasuala la elimu bure na juzi Rais kasema zinatakiwa zaidi ya billion 300 ili kutimiliza hayo.
Bado maeneo mengine ya hadi hayajaguswa hata kidogo, sasa haya mapato yetu ya ndani hayatoshi kamwe na kwa sasa yanaweza pungua zaidi sababu hela haipo kwenye mzunguke, the government is not spending, 90% of daily consumables we are importing, sasa ina maana tunahitaji dollar zaidi. Na project kubwakubwa zote zinazoendelea kwa sasa na zitazoendelea wakandandarasi wote ni makampuni ya kigeni, inamaana tena sio hao hao tunawasaidia to export dollars na uchumi mzuri kwenye nchi wanazotokea hao wakandarasi.

Nadhani hao jamaa wa MCC wamewahi sana kufanya maamuzi, wangelimpa muda Mh Rais angetimiliza tuu yote yanayotakikana kupata huo msaada.

Well said mkuu, uchambuzi wako umezingatia ukweli wa mambo na uhalisia wake na hasa kipindi hiki, ila sijui Magufuli anataka mda gani zaidi
 
Nchi lazima ianze kujitegemea

Ipo siku tutajitegemea,naomba sana litokee. Ila ilo halialalishi uhuni wenu wa kubaka demokrasia!!
Tumia akili badala ya kuwa jingalao!!
 
habari ilopo ni kwamba Tanzania wamenyimwa msaada wa MCC kwa sababu ya suala la uchaguzi wa Zanzibar pamoja na cyber crime legislation.
Zanzibar ni nchi wanajiamulia mambo yao , wadhungu wasitubabaishe
 
Kwa kutegemea misaada kwa maendeleo yeti ni utumea. Tukumbuke ya kuwa lazima tufanye kazi kwa bidii ili tujemge nchi yetu wenyewe.
 
Kwa kutegemea misaada kwa maendeleo yeti ni utumwa. Tukumbuke ya kuwa lazima tufanye kazi kwa bidii ili tujemge nchi yetu wenyewe.
 
Ni kweli mkuu!

Hatua ya kwanza tuwashukuru wazungu kutunyima pesa yao.

Pia tumshukuru Mungu kutupatia raisi asiye chekea wakwepa kodi na wala rushwa na wazembe.

Tukatae roho ya utegemezi na kutokujiamini. Tunaweza x 1,000,000,000 kujitegemea na kuendelea kama taifa bila kutegemea wazungu!

tutafanyeje umesahau kila kitu tumewapa wazungu bila kodi? Kunzia madini gas utalii ..viwanda vyetu wameoewa wachina na wahindi...makampuni ya utalii ni ya wazungu...
Sisi tunapata kodi kwenye uchuuuzi kujitegemea ni ndoto ya muda mrefu.
Leo hii maji tu ni shida kipindupindu kinaenea nchi nzima sasa malaria ukimwi barabara bado ni tatizo..viwanja tu kupima pia ni issue dah
tranformers na wire za umeme zimewekwa vituoni hazifungwi
 
Kumbe msaada bado upo . Mi nilidhani tumenyimwa kabisaaaa. Wanachotaka wao ni sisi kurekebisha kasoro fulani fulani kisha watautoa. Nadhani wataweka bank kifaida kwa muda kwa ajili yetu hadi tumalize hizo kasoro. Kwa hiyo wanaopata msaada huo sasa itakula kwao. Sisi fungu letu litawekwa bank kifaida hadi hapo tutakapomaliza hizo kasoro. Siunajua tena kinachokaa bank kwa muda huzalisha. Siku wakaianza kutukumbukatutapata na faidha yake toka bank. Patamu hapo! Ndiyo maana waswahili husemaharaka haraka ya kupata misaada sasa haina baraka. Wanaopata sasa itakua kwao.
 
Hii ndiyo statement ya The Millennium Challenge Corporation (MCC) Board of Directors!

For Immediate Release
December 17, 2015

Renee Kelly
202-521-3880

The Millennium Challenge Corporation (MCC) Board of Directors held its quarterly meeting on Dec. 16, 2015. The Board approved three countries as eligible for compacts and two countries as eligible for threshold programs. Three of the five countries are new partners for MCC and all have worked hard to improve their performance on MCC?s scorecard, which measures countries? commitment to ruling justly, economic freedom, and investing in their people.

The Board selected Cote d?Ivoire, Kosovo and Senegal as newly eligible for compacts. Cote d?Ivoire, which was selected in December 2014 for a threshold program, will now transition into the compact program after showing continued improvement on its scorecard and achieving greater political stability. Kosovo, which passed MCC?s scorecard for the first time after making progress on democratic rights, is a new partner for MCC. Senegal successfully completed its first MCC compact in September and demonstrated improved scorecard performance over the life of the partnership.

In both Senegal and Cote d?Ivoire, the Board recommended that MCC explore potential investments that address regional obstacles to economic growth, in addition to domestic investments, while recognizing the need for statutory authority to optimize regional impact.

The Board also selected Togo and Sri Lanka to develop MCC threshold programs. Togo has shown a clear upward trajectory on overall scorecard performance over the past few years. Sri Lanka has embarked on a remarkable effort over the past year to reinvigorate its democratic institutions, improve governance, and restore protection of human rights.

Nepal, Niger and the Philippines were reselected by the Board to continue developing their compacts. The Board reselects all countries in compact development as part of the annual selection process. The Board deferred a vote on the reselection of Tanzania and Lesotho for compact eligibility until relevant governance concerns in both countries have been addressed.

Finally, the Board reaffirmed its commitment to developing a compact with Mongolia and its support for a strategic partnership with India to advance economic growth and poverty reduction in South Asia.

Actually hili swala kwa msiojua, tokea escrow, mkwere aliwa shit mbaya hao mcc/wazungu. Serikali ilaka kimya na wazungu nao waka mute.

Mwisho wa siku wazungu wakarudi wenywe kwa mlango wa nyuma maana kukupa msaada ni biashara kwao sio kwamba wanakupabkwa mapenzo yao tu??
 
Mi naona hawa huwa wana sababu zao za kutotoa msaada. Siwezi amini eti hiyo ndo sababu. Kwani wao sera zao za mambo ya nje zina hata chembe ya demokrasia?
Sasa hapa utasema hao wazungu wanatafuta sababu kivipi?
Tusijaribu kutafuta mchawi wakati wachawi ni sisi wenyewe.
Hivi inawezekanaje kwa uchaguzi wa Zanzibar ambao umefanyika kwa kiwango kikubwa cha uhuru na haki, kwa mujibu wa waangalizi wote wa ndani na nje ya nchi walioshuhudia uchaguzi huo na mawakala wa vyama vyote vya siasa vilivyoshiriki uchaguzi huo wakasaini fomu za matokeo ya uchaguzi huo na Wasimamizi wa uchaguzi wakatoa vyeti kwa walioshinda nafasi za ubunge na uwakilishi na Mwenyekiti wa ZEC Jecha Salim Jecha akatoa matokeo kwa majimbo 40 na ndipo ghafla akatangaza kuufuta uchaguzi huo bila hata kuwashirikisha makamishna wenzake wa ZEC!
Hivi katika mazingira kama hayo ambspo inaonekana dhahiri kuwa Jecha alitoa tangazo la kufuta uchagizi huo kwa kutekeleza kauli iliyowahi kutolewa na wahafidhina wa CCM mara kadhaa kuwa Zanzibar haitakuja kamwe kuja kutolewa kwa vikaratasi vya kupigia kura.
Hivi katika mazingira kama hayo bado kweli waTZ tunaweza kuwa na ujasiri wa kuwalaumu wanarekani kwa kutunyima msaada huo wa MCC??!!!!!
 
Back
Top Bottom