Nafikiri ni vizuri pia kuondoa misamaha yote ya kodi toka kwa wawekezaji wa kutoka nchi za nje sababu sehemu ya faida wanazopata kwa uwekezaji wao Tanzania ndizo huzitumia kutupa misaada.Ajabu sisi tunapowapa nafasi ya uwekezaji nchini kwetu huwa hatuwapi masharti ya kisiasa lakini wao wakishavuna pesa kutoa msaada kidogo toka faida wanayopata wanatupa masharti kibao ya kisiasa.
Bill Gates anauza makomputa na masoftware kibao Tanzania.Anatengeneza pesa nyingi mno na makampuni mengi ya marekani yamewekeza Tanzania bila kupewa masharti ya Kisiasa na watanzania.
Wema wetu ndio wanatulipa kwa kutuingilia mambo ya siasa.
Wawekezaji hawana huruma kwetu naomba serikali iliyopo tufanye biashara nao tu.Wakitaka vitalu vya gesi au madini au ardhi kwanza walipe pesa za kununua na kufidia halafu watoe hisa kwa wenye wenye maeneo zisizopungua 40% wakikataa watuachia vitalu,madini na ardhi yetu.Tuanze kuwa wakali na sisi na kile tulichonacho kama wao wanavyokuwa wakali kwetu kwa vile walivyonavyo.
Mi naona hawa huwa wana sababu zao za kutotoa msaada. Siwezi amini eti hiyo ndo sababu. Kwani wao sera zao za mambo ya nje zina hata chembe ya demokrasia?
Akutukunae hakuchagulii tusi, hivi tokea lini Zanzibar ikawa ina meno ya kuin'gata Tanganyika? Meno ya wazanzibari yalin'golewa bila ganzi tarehe 26 April 1964. Sasa hivi Tanganyika inatulazimisha kutuchagulia kiongozi wa kutuongoza. Ulimwengu umeona na kukisikia kilio cha wazanzibari kwa kutumia sanduku la kura, lakini CCM bara inalazimisha itakavyo. Kuleni jeuri yenu, na hamna mamlaka ya kuwapangia Donors jinsi ya kutumia pesa zao.Shirika la millennium challenge la Marekani hatimae wamekataa kuipa Tanzania fedha za kujikimu kimaendelea. Zaid fuatilia katika website yao Eligible Countries The Board met on December 16, 2015, to select countries that will be eligible for assistance under section 607 of the Act (22 U.S.C. 7706) for FY 2016. The Board selected the following countries as eligible for such assistance for FY 2016: Cote d?Ivoire, Kosovo, and Senegal. The Board also reselected the following countries as eligible for FY 2016 compact assistance: Niger, Nepal, and the Philippines. The Board did not vote on the re-selection of Tanzania and Lesotho. The Board also reaffirmed its support for Mongolia?s continued effort to develop its compact proposal that will access funds appropriated to MCC when Mongolia was a candidate country.
Hii ndiyo statement ya The Millennium Challenge Corporation (MCC) Board of Directors!
For Immediate Release
December 17, 2015
Renee Kelly
202-521-3880
The Millennium Challenge Corporation (MCC) Board of Directors held its quarterly meeting on Dec. 16, 2015. The Board approved three countries as eligible for compacts and two countries as eligible for threshold programs. Three of the five countries are new partners for MCC and all have worked hard to improve their performance on MCC?s scorecard, which measures countries? commitment to ruling justly, economic freedom, and investing in their people.
The Board selected Cote d?Ivoire, Kosovo and Senegal as newly eligible for compacts. Cote d?Ivoire, which was selected in December 2014 for a threshold program, will now transition into the compact program after showing continued improvement on its scorecard and achieving greater political stability. Kosovo, which passed MCC?s scorecard for the first time after making progress on democratic rights, is a new partner for MCC. Senegal successfully completed its first MCC compact in September and demonstrated improved scorecard performance over the life of the partnership.
In both Senegal and Cote d?Ivoire, the Board recommended that MCC explore potential investments that address regional obstacles to economic growth, in addition to domestic investments, while recognizing the need for statutory authority to optimize regional impact.
The Board also selected Togo and Sri Lanka to develop MCC threshold programs. Togo has shown a clear upward trajectory on overall scorecard performance over the past few years. Sri Lanka has embarked on a remarkable effort over the past year to reinvigorate its democratic institutions, improve governance, and restore protection of human rights.
Nepal, Niger and the Philippines were reselected by the Board to continue developing their compacts. The Board reselects all countries in compact development as part of the annual selection process. The Board deferred a vote on the reselection of Tanzania and Lesotho for compact eligibility until relevant governance concerns in both countries have been addressed.
Finally, the Board reaffirmed its commitment to developing a compact with Mongolia and its support for a strategic partnership with India to advance economic growth and poverty reduction in South Asia.
Nchi zote duniani huheshimiana mipaka na kutoingiliana mambo ya ndani.Nchi zote duniani huwa na mahusiano katika mambo kadhaa wanayokubaliana.Nje ya yale wasiyokubaliana huwa hakuna mahusiano.
Tanzania bara na Zanzibar tuna mahusiano kati baadhi ya mambo ambayo yako katika katiba.Katika mambo hayo ya uhusiano swala la uchaguzio wa Zanzibar si la muungano na halimhusu raisi wa muungano sababu raisi wa muungano kazi yake ni kushughulikia mambo yale tu ya muungano na si yale yasiyo ya kimuungano.
Raisi wa Tanzania haiwezi ingilia mambo ya nchi yoyote ile iwe marekani au Zanzibar.
Bill Gate na MCC na wafadhili wote na watoa misaada hilo walielewe na wasichanganye mambo na kutupa masharti ya eti raisi atatue matatizo ya uchaguzi zanzibar si sahihi.Zanzibar ni nchi huru kama marekani.Hivi bunge la marekani laweza sema hatupitishi bajeti ya marekani hadi marekani itatue tatizo la zanzibar?
Mambo ya Zanzibar ni kama ya burundi nk ambapo kinachotakiwa ni kuomba ikiwezekana Raisi wa Muungano au hata wa burundi asaidie kumaliza mgogoro zanzibar.
Hili la kushinikizana si haki.Na wamarekani na jumuiya ya kimataifa ni vizuri wakawajua CUF vizuri kama hawawajui shauri yao.Kitendo cha MCC kutishia kutoipa misaada Tanzania Sijakipenda nadhani wana mshauri mbaya sana tena sana asiyesoma katiba ya Tanzania wala kujua uhusiano uliopo kati ya Raisi wa Muungano wa Tanzania Na Zanzibar.
Zanzibar ni nchi huru kama ambavyo akina Seif Sharif Hamad wanavyobwata Sasa zigo hilo linalowahusu nchi yao walimalize wenyewe kwa nini waitumbukize kwa Raisi wa Jamhuri ya muungano ambaye halimhusu na kufitini kwa wafadhili nchi ikose misaada?
Tunaomba wafadhili na watoa misaada msituonee kama ambavyo sisi hatuwaonei wawekezaji wenu toka nchi zenu.
pole sana ,,mikataba ya miaka 55 ilishasainiwa ukivunja unalipa garama zote na kesi ni kwao sio mahakama zenu za upendeleo,,,viongozi wetu wametufikisha hapo
Mwambie JECHA afute maamuzi ya MCC maana ana ubavu sana huyo. Awaambie MCC warudie maamuzi yao upya.
Nchi zote duniani huheshimiana mipaka na kutoingiliana mambo ya ndani.Nchi zote duniani huwa na mahusiano katika mambo kadhaa wanayokubaliana.Nje ya yale wasiyokubaliana huwa hakuna mahusiano.
Tanzania bara na Zanzibar tuna mahusiano kati baadhi ya mambo ambayo yako katika katiba.Katika mambo hayo ya uhusiano swala la uchaguzio wa Zanzibar si la muungano na halimhusu raisi wa muungano sababu raisi wa muungano kazi yake ni kushughulikia mambo yale tu ya muungano na si yale yasiyo ya kimuungano.
Raisi wa Tanzania haiwezi ingilia mambo ya nchi yoyote ile iwe marekani au Zanzibar.
Bill Gate na MCC na wafadhili wote na watoa misaada hilo walielewe na wasichanganye mambo na kutupa masharti ya eti raisi atatue matatizo ya uchaguzi zanzibar si sahihi.Zanzibar ni nchi huru kama marekani.Hivi bunge la marekani laweza sema hatupitishi bajeti ya marekani hadi marekani itatue tatizo la zanzibar?
Mambo ya Zanzibar ni kama ya burundi nk ambapo kinachotakiwa ni kuomba ikiwezekana Raisi wa Muungano au hata wa burundi asaidie kumaliza mgogoro zanzibar.
Hili la kushinikizana si haki.Na wamarekani na jumuiya ya kimataifa ni vizuri wakawajua CUF vizuri kama hawawajui shauri yao.Kitendo cha MCC kutishia kutoipa misaada Tanzania Sijakipenda nadhani wana mshauri mbaya sana tena sana asiyesoma katiba ya Tanzania wala kujua uhusiano uliopo kati ya Raisi wa Muungano wa Tanzania Na Zanzibar.
Zanzibar ni nchi huru kama ambavyo akina Seif Sharif Hamad wanavyobwata Sasa zigo hilo linalowahusu nchi yao walimalize wenyewe kwa nini waitumbukize kwa Raisi wa Jamhuri ya muungano ambaye halimhusu na kufitini kwa wafadhili nchi ikose misaada?
Tunaomba wafadhili na watoa misaada msituonee kama ambavyo sisi hatuwaonei wawekezaji wenu toka nchi zenu.
TRA ya Dr Mpango wamekusanya sh ngapi vile??? ndani ya muda gani????