Bodi ya MCC yainyima Tanzania fedha za msaada

Hivi hili suali la Tanzania kukubali kukosa misaada kwa sababu ya Zanzibar ni uzembe au ni ujinga?

Mimi nafikiri kuna hujuma za kisiasa pia.Ni vizuri serikali itafute majibu kwa mkurugenzi mkuu wa huo mfuko Bernard Mchomvu ambaye ni mtanzania.Atoe jibu la kueleweka kisheria na kikatiba ya Tanzania.

Wanadiplomasia pia waingie kazini na MCC itoe jibu kwa watanzania la kueleweka nini ni nini?
 
Kumbe ni swala la kiimani....basi sawa....

Madai ya wazungu/wakoloni ni ya msingi (issue ya ZNZ na watuhumiwa wa makosa ya mitandao), lakini mi nasema walale mbele. uwezo wa kijitegemea tunao. Jana JPM alitangaza kwamba TRA wamekusanya Trill 1.3 kwa mwezi wa dec ambao bado hajaisha wote. Trill 1.3 X 12 months = Trill 15.6 kwa mwaka. Japo bedget ya mwaka 2014/2015 ilikua over Trill 20; naamini kwa strategy ya kupunguza spending, Trill 15.6 itafanya mambo mengi hata bila kutegemea hawa maf**la - western imperialist.

mnaongea tu nyuma ya keyboard lakini nina shaka kama suala la uongozi mnalijua kwa mapana yake.

Bisha, ongea lakini masharti ya MCC lazima Tanzania watayafuata tu. Wanaojua muda huu wanasugua vichwa wafanyeje ili kujinusuru nyie mnaongea vitu msivyovijua. ETI TRIL 1.3 !!!!!!!!!!!!!!!

kaulize mtu aliyepo Hazina katika hizo 1.3 zimebaki ngapi!!!!!!!

Miradi mingapi ambayo inategemea pesa hapa TZ.

Ni magari mangapi yenye plate number nyekundu DFP unakutana nazo njiani (Hata vijijini utayaona haya magari)

Mnaongea kishabiki usiokuwa na maana, kwa kuwa vidole mali yenu kuandika kila kinachokuja kichwani lakini ubongo hauutumii kuwaza unayoandika!!!!!!!
 
Unajua ccm siyo kwamba hawaujui ukweli wa mambo ulivyo, wanayjya sana tu ila ni kale kauroho ka madaraka na kule kusema kwamba itakuaje huku ikiwa ccm na kule cuf??? ila wasisahau yale ndo yalikua matokeo ya kupiga kura, la sivyo waneachana na mambo ya kura na kuendelea kumweka Dr, madarakani. kama walitumia demokrsaia ya kweli, basi wana jukumu la kuachia nchi ili mambo mengine yaendelee na kuepusha mambo ya Fitna, WASIONAE wapinzani wamekaa kimya wakawaona mafara!!!!! tunaona kinachoendela kule Burundi na hatutaki kitokee na hapa kwetu, Kweli busara ya baba Lowassa ni zaidi ya serikali nyiiingi sana za Africa, Mungu amweke zaidi na zaidi huyu mzee wetu. Ila kwa Zanzibar??? Huu ni mwiba tayari
Busara iko zanz huku basi lakini Tanzania Lowasa alishindwa ndio maana katulia
 
Unajua ccm siyo kwamba hawaujui ukweli wa mambo ulivyo, wanayjya sana tu ila ni kale kauroho ka madaraka na kule kusema kwamba itakuaje huku ikiwa ccm na kule cuf??? ila wasisahau yale ndo yalikua matokeo ya kupiga kura, la sivyo waneachana na mambo ya kura na kuendelea kumweka Dr, madarakani. kama walitumia demokrsaia ya kweli, basi wana jukumu la kuachia nchi ili mambo mengine yaendelee na kuepusha mambo ya Fitna, WASIONAE wapinzani wamekaa kimya wakawaona mafara!!!!! tunaona kinachoendela kule Burundi na hatutaki kitokee na hapa kwetu, Kweli busara ya baba Lowassa ni zaidi ya serikali nyiiingi sana za Africa, Mungu amweke zaidi na zaidi huyu mzee wetu. Ila kwa Zanzibar??? Huu ni mwiba tayari

Mkuu umeandika points tupu bila chenga.
 
Nchi lazima ianze kujitegemea

Kwa kuanzia tupunguze bajeti ya serikali ili ilingane na makusanyo yetu ya kodi. Haiwezekani tupange bajeti ya Trillion 27 wakati mapato yetu ni Trillion 12!

Sipendi kuona yanayoendelea Zanzibar lakini pia sipendi kuona financial embarrassment tunayofanyiwa na MCC.

Jambo la msingi ni lazima tujitegemee.
 
habari ilopo ni kwamba tanzania wamenyimwa msaada wa mcc kwa sababu ya suala la uchaguzi wa zanzibar pamoja na cyber crime legislation.

========================

viva mcc vivaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hapa kwetu bila kupata katiba bora ya wananchi, kumarisha taaisisi za utawala bora wa sheria a kufutilia mbali mfumo wa chama-dola; ambapo serikali ni ccm and vice versa! tutaendelea kuwa na "governance issue" kila siku na kuendelea kunyanyapaliwa na development partners kila kukicha.

Press Release
MCC Board Selects Five Countries for MCC Partnerships

New Compacts with Cote d?Ivoire, Kosovo and Senegal, and New Threshold Programs with Sri Lanka and Togo

For Immediate Release
December 17, 2015

Renee Kelly
202-521-3880

WASHINGTON, D.C., Dec. 17 ? The Millennium Challenge Corporation (MCC) Board of Directors held its quarterly meeting on Dec. 16, 2015. The Board approved three countries as eligible for compacts and two countries as eligible for threshold programs. Three of the five countries are new partners for MCC and all have worked hard to improve their performance on MCC?s scorecard, which measures countries? commitment to ruling justly, economic freedom, and investing in their people.

The Board selected Cote d?Ivoire, Kosovo and Senegal as newly eligible for compacts. Cote d?Ivoire, which was selected in December 2014 for a threshold program, will now transition into the compact program after showing continued improvement on its scorecard and achieving greater political stability. Kosovo, which passed MCC?s scorecard for the first time after making progress on democratic rights, is a new partner for MCC. Senegal successfully completed its first MCC compact in September and demonstrated improved scorecard performance over the life of the partnership.

In both Senegal and Cote d?Ivoire, the Board recommended that MCC explore potential investments that address regional obstacles to economic growth, in addition to domestic investments, while recognizing the need for statutory authority to optimize regional impact.

The Board also selected Togo and Sri Lanka to develop MCC threshold programs. Togo has shown a clear upward trajectory on overall scorecard performance over the past few years. Sri Lanka has embarked on a remarkable effort over the past year to reinvigorate its democratic institutions, improve governance, and restore protection of human rights.

Nepal, Niger and the Philippines were reselected by the Board to continue developing their compacts. The Board reselects all countries in compact development as part of the annual selection process. The Board deferred a vote on the reselection of Tanzania and Lesotho for compact eligibility until relevant governance concerns in both countries have been addressed.

Finally, the Board reaffirmed its commitment to developing a compact with Mongolia and its support for a strategic partnership with India to advance economic growth and poverty reduction in South Asia.

###



The Millennium Challenge Corporation is an innovative and independent U.S. Government agency working to reduce global poverty through economic growth. Created by the U.S. Congress in January 2004, with strong bipartisan support, MCC provides time-limited grants and assistance to countries that demonstrate a commitment to good governance, investments in people and economic freedom. Learn more about MCC at www.mcc.gov.
 
Mi naona hawa huwa wana sababu zao za kutotoa msaada. Siwezi amini eti hiyo ndo sababu. Kwani wao sera zao za mambo ya nje zina hata chembe ya demokrasia?

Ubabe wenu mwisho mipaka ya Tanzania. Huko nje kuna MCC!!!!!
 
Back
Top Bottom