Duh, madhara ya kuwa tegemezi ndo haya,tangu tuikwepe siasa ya ujamaa na kujitegemea hali umekuwa ya kuwapa wakubwa gold nakusbiri misaada
Siyo madhara ya kuwa tegemezi. Ni muendelezo wa athari za serikali kwa udictator na uvunjaji wa haki za binadamu, uuaji wa democrasia na sasa ongezeko la huduma mbovu kwa wananchi. Kisa urafi wa madaraka wa ccm.