Kinacho endelea hapa ni usanii from both sides they know, the port does not need that tracking system for efficiency purposes. Ndio maana wale waliomwagiwa kitumbua chao mchanga mara ya kwanza kutoka wizarani wanarudisha mashambulizi kwa kuizuia ya sasa kutumia mgongo wa organisation own policies.Tafuteni nchi nyingine ya kwenda kuibia na sio tanzania tena bandarini chini ya Dr Mwakyembe,la sivyo subirini Dr Mwakyembe aondoke ndio muingine wizi wenu pale kwa sasa mmebugi men,kwanini mmezuia tracking system isifanye kazi kama kweli lengo lenu ni kuisaidia nchi?
Dr Mwakyembe,hakuna muda wa kupoteza,fukuza wote kuanza upya si ujinga,nyie wachache mnavoiba pale bandarini,mnawaumiza waliowengi na hii hakibaliki chini ya uangalizi wa Dr Mwakyembe na mtaondoka tu,no way out
Nakumbuka wakati wa uteuzi wa Kipande kulikuwa na tuhuma za uhusiano kati ya white hse na huyu Kipande, labda ndio maana Mwakyembe imebidi atafute consultancy ya white hse popote ilipo kabla ya kuchukua maamuzi.
Tina,
Asante kwa nondo hizi, zinairusha jf enzi zile tulipoikuta na kujiunga nayo!. Za moto moto kutoka jikoni!.
Mwaki ni "sensetionalist!".
Tangu CCJ ilipoasisiwa kuna kitu niliwaambia humu!.
Alipotishia kuwa anawindwa kuuwawa kuna kitu niliwaambia humu!.
Alipodai amenusurika kwenye ajali ya kuchonga kuna kitu niliwaambia humu!.
Alipotia ripoti nusu ya Richmond na kuuficha ukweli mkubwa zaidi, kuna kitu niliwaambia humu!.
Zitto aliposhauri tuinunue mitambo ile au tuitaifishe, yeye alipinga na kuna niliwaambia humu!.
Alipoteuliwa Naibu Waziri kuna kitu niliwaambia humu!
Alipodaiwa kuwekewa sumu, kuna kitu niliwaambia humu!.
Manumba alipoitoa ile medical report yake ya Apollo kuna kitu niliwaambia humu!.
Dr. Mwaki alipoibuka kudai ile sio medical report kuna kitu niliwaambia humu!.
Alipojidai atasema kila kitu kuna kitu niliwaambia humu!.
Aliporipoti na Sitta pale Kawe kwenye kanisa la Gwajima (mchungaji wa msafara wa Hammer 3!) na kutangaza amemwachia Mungu, kuna kitu niliwaambia humu!.
Tatizo la baadhi yetu humu, ni uwezo wa kutunza kumbukumbu na connecting the dots!.
Ukweli ni kuwa "he is not real!" so do Sitta!. Hata Magufuli ni action oriented but not real!. Membe ni boya!.
Mtu peke ambaye ni very genuine, very real!, na mtu wa vitendo vya ukweli, ni yule yule, "the one and only..."!
Naomba nisimtaje nisije kuharibu thread yako!.
Pasco.
Tina, mleta mada tuthibitishie ukweli wa maelezo haya kama ndivyo hali ilivyokuwa na ilivyo kwa sasaMafisadi waliokosa ulaji tangu mwakiembe aingie madarakani..alikuta bandari inaingiza sh.bil 3 kwa mwezi akaanza kwa kuwaondoa mkurugenzi mkuu na genge lake,kisha akasambaratisha bodi na kutafuta watanzania wanaotafuta kazi na ambao wako tayari kuitumikia tanzania.
tangu alipofika TPA mkurugenzi mpya aliwabana sana watendaji na baada ya miezi miwili pato la bandari lilipanda mara dufu toka bil 3 hadi bil.9,kwa mwezi.hakuishia hapo akawaweka watendaji wote karibu ili kurahisisha utoaji wa mzigo na kupelekea kupandisha pato la bandari toka bil 9 hadi 21 na hivi karibuni kafuta utaratibu wa kulipia pesa bandarini kwenye chumba maalum( strong room) na sasa pesa inalipiwa BOT na Bank M,bandari mteja anaenda ba pay in slip.kubadilika kwa mfumo huu kumeongeza pato la bandari toka bil.21 hadi bil 40 kwa mwezi. hivyo tangu mwakiembe ameshika wizara hii na kumweka huyo mkurugenzi mpya ambae mafisadi wanajitahidi kumchafua ,pato la bandari limeoanda toka bil 3 hadi bil 40 kwa mwezi.
Hii inamaana zaidi ya bil 37 ziliishia kwenye account za mafisadi huko uswiss kwa kila mwezi.ukali na ufuatiliaji wa mwakiembe ni threat(tishio) kwa wachumia tumbo.hali umekuwa ngumu bandarini.wizi wa vipuli vya magari unedhibitiwa na sasa kila kona ya mafisadi ni vilio.
My take:waandishi wa habari hususan magazeti naamini wite watanunuliwa ili waanze kumpaka matope mwakyembe kwa maslagi ya wezi .hata lowasa aliweza kuvinunua vyombo vyote vya habari kuanzia Uhuru,Tazama,mzalendo,Tanzania Daima,mawio,mwanahakisi na kila gazeti unalolijua wewe huta sikia tena likimwandika lowasa katika mtazamo hasi.
"the great weapon of the oppressor is the mind of oppressed"by late steven Bicco.
Mkuu Mwobho, sio kweli kuwa yamenunuliwa ndio maana hayamripoti katika mtazamo hasi, bali sasa yameutambua ukweli halisi!. EL was framed kwenye Richmond and then condemed without being heard!. Kabla ya baraza jipya, Six ndie ilibidi awe PM ili JK akimaliza term yake, Six ampokee!. Kitendo cha JK kumteua EL, kilimaanisha baada ya JK ni EL na sio Six!. Richmond ilipoibuka Six akamtumia Mwaki kama nyundo kummaliza EL!. Ukumbuke Mwaki anajua fika Richmond ni ya nani, who was behind and the benefisiaries ni kina nani!, lakini walifanya scheme yao, na kumframe EL the final motive kumfuta kwenye sura za 2015 na mwanzo walifanikiwa!. The rest hata humu jf, were too blind to see including the media!, as times goes by, true visions zimeanza kuibuka, ukweli umeanza ku surface na media imelijua hili ndio maana sasa media zote ziko very positive kuhusu EL, kambi ya Six na scheme zao, imesambaratika kwa sababu kuna watu hawakujua it was a scheme!. Baada ya kushtukiwa, wakaandaa plan B (CCJ), nayo ikashtukiwa!.My take:waandishi wa habari hususan magazeti naamini wite watanunuliwa ili waanze kumpaka matope mwakyembe kwa maslagi ya wezi .hata lowasa aliweza kuvinunua vyombo vyote vya habari kuanzia Uhuru,Tazama,mzalendo,Tanzania Daima,mawio,mwanahakisi na kila gazeti unalolijua wewe huta sikia tena likimwandika lowasa katika mtazamo hasi.
Tuhuma zenyewe kwa DG ni zipi ?
Mkuu Sabato Masalia, kwa sheria zetu humu jf, huruhusiwi kumtaja member yoyote ni nani, hii ni kosa la name calling na adhabu yake ni ban!. Nimekuhurumia sijakuripoti kwa kuamini hujui kuwa ni kosa!, edit bandiko lako kama nilivyoedit kwa kuficha majina ujumbe wako umeishatufikia!.Tina taarifa hii inadhihirisha wewe ni mpenda majungu na ni mrongo mkubwa huyu mleta taarifa anayejiita.... ameshagundulika wizarani ni mmoja wa wajumbe wa bodi jina lake kamili ni ... anayejigamba ni afisa usalama wa taifa na anaripoti taarifa zake kwa bosi wake ....!!!?huyu .... ndie anayeandika taarifa mbaya katika magazeti menge hasa gazeti la Kulikoni akimchafua Mwakyembe na Kipande.
Sisi ambao ni "trend readers" hili tumeishaliona siku nyingi!. Baada ya ripoti ya ile ile tume yake kutoka, nilitoa angalizo kuwa kanuni kuu ya kwanza ya haki na utawala wa sheria ni "no one is condemned unheard!". Nikauliza iweje mwanasheria huyu tena aliyebobea kuamua kutomhoji mtuhumiwa mkuu wa Richmond, ba badala yake kumcondem moja kwa moja?!. Kwa hili la bandari sasa wengi zaidi mtamwelewa vizuri, la TAZARA limeishamshinda!, akimaliza la bandari, ATCL na TRC vinamsubiri!, kuna mambo hayahitaji "sensionalism!", soon he'll prove failure!. Time will tell!.Bora hata Mrema, Mwakyembe ni zaidi ya Mrema Enzi za Unaibu Waziri Mkuu... Tutakuja kujua baadae.
Ni Mwakyembe aliyeunda Kamati ya kuchunguza TPA ikilipwa fedha na TPA na kamati hiyo Mwenyekiti alilipwa 930,000 kwa siku, wajumbe 7+1 katibu kila mmoja 630,000 kwa siku na walilala na kupata huduma zote Hoteli Sourthen Sun USD 200 kwa siku (kulala tu) na walikaa kwa zaidi ya siku 60 na kuomba kuongezewa zaidi. Hadi leo ripoti ni siri maana imejaa majungu.