Endasak Masqaroda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 1,729
- 3,957
- Thread starter
- #21
Dogo nilideal naye kimya kimya bila kumwambia. Nilipokuwa nilikataa kupanda boda boda yake mara 3 ila tu sikutaka kumwambia kinachoendelea.Kwanini hukutaka kwenda kudeal na huyo bodaboda aliyempelekea umbea huyo mwanamke wako?