Bodaboda na wake za watu

Mimi ni mwanamke...ila hakuna kundi linaloongoza kutongoza km maboda boda...tena sio kutongoza tu boda boda wamejikita kutongoza wake za watu...yaan had unachefukwa...sasa inategemeana na aina ya mwanamke...wanasweat siku nzima..ptu...niishie hapa
Mnawarahisishia sana kazi ndiyo maana mmewafanya wawe wepesi kutongoza maana anachukulia huyu ni kama wale sio kosa lao nilikuwa nafanya kazi karibu na watu wa bodaboda mpaka muda mwingine wanawakimbia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemaliza kila ulizo la swali lolote Chifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hii kali jaman...kali kbs
Ukikaa kwenye vijiwe vyao utasikia mengi sana kuhusu upande wenu ndio maana kuna wimbi la vijana wengi huko kwa ajili ya hiyo ila wengi sio wafanyaji kazi sasa kazi yao ni kuwakaza tu ndio maana kuna kesi nyingi za bodaboda kutopeleka hesabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee, kweli kurukaruka kwa maharagwe ndiko kuiva kwake, nilitaka nishangae unaanzaje kunikataa dereva bodaboda tena niliye handsome namna hii?

Tukutane pale "THE PARADISE BUCHA" ili nikupe ofa kede kede za nyama afu univulie c.h.u.p.i nikufaidi mtoto mzuri Manengelo[emoji182][emoji173][emoji8]
next yr naacha...ngoja ipite new yr[emoji39]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

unaota nadhan mkuu..amka kumekucha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…