Sugar dady
Senior Member
- Dec 6, 2018
- 131
- 194
Na sex ya kwenye gari hua inanoga jamannatania tu mkuu...pole sana



Sent using Jamii Forums mobile app
Na sex ya kwenye gari hua inanoga jamannatania tu mkuu...pole sana



Duuuh...! Wewww HB wa watu utamponzaNa sex ya kwenye gari hua inanoga jamannatania tu mkuu...pole sana
Kuna bucha nikienda nunua maini robo napewa maini utafikiri maini ya sisimizi lakini kuna dem nikimtuma akaninunulie maini robo anakuja nayo kama nusu hivi bucha hyohyo muuzaji yuleyule mzani uleule
sio mm sana ...ila acha kbs sex ya jwenye gari haitoki mara 1 akilini..huyo mpk leo anakumbuka kbs vibes za houseboy...yaan ni shidaaaa
...!
![]()





...hapo sasaHuna nguvu za kiume na hela
Hapo penye inategemea na aina ya mwanamke, anayeongezwa robo nzima ya kuchoma anakuwaje?😂😂😂😂..umeona eh..mie mume wangu analetaga manyama mabayaaa bucha ile ile.. 😂😂nikienda mm naongezewa robo nzima ati ya kuchoma..ss inategemea lakini na aina ya mwanamke...
Hapo penye inategemea na aina ya mwanamke, anayeongezwa robo nzima ya kuchoma anakuwaje?
Nimegundua unalika kirahisi tu hata na bodaboda japo unazuga kuwaponda. Hahaaa..umeona eh..mie mume wangu analetaga manyama mabayaaa bucha ile ile..
nikienda mm naongezewa robo nzima ati ya kuchoma..ss inategemea lakini na aina ya mwanamke...
Bodaboda mwenye akili ya kutumia Jf ni wachache sana wengi akili zao ni kucheza kutongoza na kucheza kamariNatamani Bodaboda nao waje watoe ushuhuda maana juu ya jambo hili isije kuwa wa-Mama nao ni Tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ufafanuzi huo umeshiba pilau la mwaka mpya.kwamba umeniongezea kanyama kakichoma nxt week nikija unanipa tena au unaanz kunitongoza...hapa inTegemea n mwanamke ndio...ukimchekea bsi ushaisha
Bodaboda mwenye akili ya kutumia Jf ni wachache sana wengi akili zao ni kucheza kamari kutongoza na kucheza kamari
Sent using Jamii Forums mobile app
Bodaboda mwenye akili ya kutumia Jf ni wachache sana wengi akili zao ni kutongoza na kucheza kamari
Sent using Jamii Forums mobile app
Ufafanuzi huo umeshiba pilau la mwaka mpya.
Natumia fursa hii pia kukutakia heri ya Mwaka Mpya. Usinisahau mgao wa nyama-robo ya nyongeza
Asante kwa kujali rafiki. Nilikumiss though. Mgao huo nitaufungia safari kuufuata bila kujali nitaumia nauli kiasi gani kutoka huku niliko, lengo tu kuifuata NYAMA robo😂same to u friend umeadimika...mgao upoo