Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
Asante kwa kujali rafiki. Nilikumiss though. Mgao huo nitaufungia safari kuufuata bila kujali nitaumia nauli kiasi gani kutoka huku niliko, lengo tu kuifuata NYAMA robo
🙌🙌🙌🙌 inaonekana una undugu na mafisi ww😷