Bodaboda na wake za watu

ahaa na vile TBc hawanaga kazi bas hili jukumu ni lao
Kwani Manengelo hujui hapa duniani kilicho cha pekeyako ni kaburi tu?
Tafadhali sana wahi hapa ofisini kwangu "THE PARADISE BUCHA" ili tuyajenge nami nifurahie kuumbwa kwa duniani kwa raha utazonipa sababu ya ofa za nyama[emoji87][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23] fala sana ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viagra na zaid 90% ya bodaboda wanapiga energy drink kwa wingi sasa wakipewa mzigo ufanisi unakuwa ni A kwa sababu ya kuboost ila final ni uzeeni NGOMA IKILALA NI MAZIMA

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona hiyo mkuu...! Sio uzeeni tu,hawa wenzetu ngoma italala mazima wakifikisha tu 35+ ngoma itakuwa ngumu kuiinua hata kwa kubust. Niko jirani na duka la madawa hapa,ikifika jioni bodaboda zinapack kwa zamu hapo,ikabidi siku moja nikaulize ni vipi hawa madogo fulani karibia kila mara namuona hapa jioni? Muuzaji akaniambia ukiona hivyo ujue kuna lijimama anaenda kuliridhisha. Halafu mpaka muuzaji anawasikitikia. Kibaya zaidi wengi wale madogo walioishia darasa la saba,kwa hiyo hawana hata elimu dunia tu. Hawasomi vijarida vyovyote ili angalau humo anaweza kupata angalau cha kumuelimisha. Wenyewe wanajuijua dunia ya kwao wenyewe. Kama wamefunikwa kwenye mtungi fulani hivi. Ni hatari,inatisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Havina formula chagueni wanawake wanaojielewa ,wachamungu,wenye kujiingizia kipato,Kama Hana mfungulie hata duka la nguo ,mgegede vizuri ,kuw mtanashati,msikilize na kuwa na muda naye sio kila siku baa
 
Wanawake wengi katika hili la boda hawajitambuai.

Amechukua namba ya boda. Mara utasikia, ngoja nimtumie sms boda aje anichukue. Aisee, kutuma sms ni mwanzo wa kuchati, na ukae unajua hawataishia njoo unichukue. Akishamfikisha huko alikokuwa anampeleka badae anampa complement, "leo umependeza sana".

Mwanamke akishaambiwa umependeza na mtu ambaye hajawahi kumwambia tayari ubongo huwa unapata electricty shock. Next day atamwambia neno lingine and after three days anamuomba mzigo, hata kwa dawa hachomowi.

My rule: mwanamke wangu sikuruhusu kumtumia sms boda au bajaji au dereva taxi. Kama huwezi kupiga niambie nimpigie mimi.

Boda ukimjengea mazoea ya kumpigia kuwa haloo njoo unichukue, hawezi kuanza mazoea ya sms na kama uko serious hata akikutext hujibu utakuwa salama. Lakini ukimwanzishia umekwisha.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wanawake na boda boda walozungumziwa humu hawapo? embu tupeni mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app

Daa leo napita barabara hivi, nakuta mke wa jirani yangu kasimama kwenye vimiti miti na bodaboda ninayemfahamu, kuniona bodaboda akajidai anaondoka, nilipopita kugeuka nakuta karudi na walivyosimama hatari na boxer imepaki pembeni. Ukweri ni hatari....
 
USIKARIRI HIVYO!...wewe ukimnunulia simu mtu ukiombwa vocha huwa unalalamika sembuse mafuta? Wanawake hawapendi kupangiwa safari, aliyemnunulia Vogi akimuomba hela ya mafuta lazima atamuuliza unaenda wapi n.k Hawapendi kufuatiliwa
Mkuu wenye pesa mingi hawana mda wa kufatilia mademu,wenye kufatilia demu anaenda wapi ni wenzangu na mie "PANGU PAKAVU TIA MCHUZI" ,anaachwa awe free afanye atakavyo ila siku akiingia kwenye 18 hadi MSHUA akaona anamwagwa mazima,na mademu wakishaona MCHELE upo akili inakaa sawa,hao wanaosusiwa fasta fasta ni temporary tu sio all the time.
 
Aiseee nina imani mke wangu atakuwa anapenda kupata tabu
 
Umejionea mambo mwenyewe mkuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…