Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
Wewe ni kati ya wale ngamia wachache kama wapo wanaopita kwenye tundu la sindano.....hongera kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha naona watu Wa bodaboda wamepindua Meza kibabe kwa MaMangi (wenye viduka mtaani) maana ndio walikua wanaongozawanafuatia watu wa bucha😂..anakuambia nakupa nyama nzuri km ww..km hujielewi kwisha habari yako😏
Mi nitampa 20,000/= kwaajili ya ofa ya mafuta tu tayari atanitunuku papuchi huyo Mkeo mwenye gari[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unahangaika kumridhisha mwanamke ili iweje?.hawaridhiki hao,,kama umeoa na anakupa mapenzi unavyotaka mengine kausha,acha na wenzio wale,,mbona mimi hata sijali hayo...nikiona hiyo hali na mimi natafuta watoto wakali nabonjoa.. hela tu ndo kila kitu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Zingine za mikebe.Haya maneno mngekuwa mnayaishi ingependeza sana.......wanawake ni kiumbe mwenye kila aina ya rangi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha naona watu Wa bodaboda wamepindua Meza kibabe kwa MaMangi (wenye viduka mtaani) maana ndio walikua wanaongoza
Mkuu Umechambua kwa Umahiri na Uzoefu wa hali ya Juu,Hongera..Ni hivi:-
Wanawake wengi bila kujali vipato vyao wanapenda sana urahisi, yaani hawako tayari kupata taabu kwa kitu ambacho kuna sehemu kinapatikana hata kwa gharama ya mwili.
Kiujumla mwanamke ana safari nyingi kwa siku kuliko mwanaume; ataondoka kwenda sokoni (bodaboda), vikoba(bodaboda), kumjulia hali mgonjwa Hosp(bodaboda), Saluni(bodaboda) nk. Ukipiga hesabu kwa siku wengine wanafikisha elfu 6 kwa bodaboda tu.
Taabu inaanza pale bodaboda huyo anapokubali kumkopesha huduma hiyo, mwisho wa siku malipo ya fedha yanageuka malipo ya mwili.
Pili, ni kwamba bodaboda wanatumika sana kuwapeleka wake za watu kwenye michepuko au kuchukua vitu kwa michepuko kupelekea wake za watu. Bodaboda wa aina hii akikomaa kwamba atatoa siri lazima anunuliwe kwa Papuchi.
Mengine, Yaliyomo yamo.
Sent using Jamii Forums mobile app
ni kweli usemayo...yaan ht km king'ang'anizi vipi..yaan mie nahis naongeaga na wafu vile.khaaaNi hivyo tu. Ukijitambua tu,unaongea nao kawaida,akija anga zile maadam unajitambua unamtolea nje huku unacheka,yeye kucheka atajua umeingia line,kesho za uso tena. Itakuwa heshima kwa wote
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]ww umekata tamaa mno na ww ...tunaridhika sana tu
Nyinyi siyo watu yan,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],,mama shemeji yenu alitaka kunipanua moyo ila nimesema hapanuki moyo mtu hapa,,tutakutana mezan kwenye mahesabu,nakula totoz kama sina akili timamu japo navaa helmet..hata upige iwake moto nyie viumbe hamtosheki..sasa mimi totoz za chuo zinanikoma..
Sent using Jamii Forums mobile app
nimekujua we ndo mke wako mrefu mweupeWanawake wanapenda sana kupanda bodabodA hata sehemu ambayo hangeweza tembea kwa miguu unakuta kwa siku anatumia zaid ya elf 5 kwenye bodaboda . Wakati mume wake kamuhachia elf 5 hapo bado hajatoa elf 2 ya kibati hajapika . Mwenzetu ishanitokea na niliwekA uzi umu jf . Baada ya kukuta sms za lijamaa la boda libonge lichafu.kwenye simu ya wife mpaka leo iyo kitu inaniuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Kundi lingine hatari kwa wake za watu ni madereva wa daladala.
Pole sana ChifuWanawake wanapenda sana kupanda bodabodA hata sehemu ambayo hangeweza tembea kwa miguu unakuta kwa siku anatumia zaid ya elf 5 kwenye bodaboda . Wakati mume wake kamuhachia elf 5 hapo bado hajatoa elf 2 ya kibati hajapika . Mwenzetu ishanitokea na niliwekA uzi umu jf . Baada ya kukuta sms za lijamaa la boda libonge lichafu.kwenye simu ya wife mpaka leo iyo kitu inaniuma
Sent using Jamii Forums mobile app
NAKAZIA "KINYONGA"Haya maneno mngekuwa mnayaishi ingependeza sana.......wanawake ni kiumbe mwenye kila aina ya rangi
Sent using Jamii Forums mobile app
100/100Pili, ni kwamba bodaboda wanatumika sana kuwapeleka wake za watu kwenye michepuko au kuchukua vitu kwa michepuko kupelekea wake za watu. Bodaboda wa aina hii akikomaa kwamba atatoa siri lazima anunuliwe kwa Papuchi.
Mengine, Yaliyomo yamo.
100/100Pili, ni kwamba bodaboda wanatumika sana kuwapeleka wake za watu kwenye michepuko au kuchukua vitu kwa michepuko kupelekea wake za watu. Bodaboda wa aina hii akikomaa kwamba atatoa siri lazima anunuliwe kwa Papuchi.
Mengine, Yaliyomo yamo.