Bodaboda na mama ntilie Mwanza wajitoa kuiunga mkono UKAWA

Bodaboda na mama ntilie Mwanza wajitoa kuiunga mkono UKAWA

dah..... masikin magamba hamna la kusema lenye uzito tena..... subiri tuwazike tu.... ufisad ugonjwa kununua watu lakin hamjaambulia hata mmoja

Msilie lie tu tarehe 25.

Maana mshaanza kutafuta sababu za kushindwa mapema kabisa.

Mara kulinda kura, mara hatuondoki!

Hofu yote ya nini?
 
Kushangaa ni jadi yenu kwani hata Mwenyekiti wenu anashangaa Nyomi la Mikutano ya UKAWA mpaka anasema ni za ku edit.

Kubwa zaidi mgombea wenu ndio bingwa wa kushangaa eti kila siku anashangaa kwanini:

1. Hospitalini hakuna Dawa.
2. Twiga kupanda Ndege.
3. Rushwa iliyokithiri ndani ya Chama na Serikali.
4. Wakulima masikini kukopwa mazao yao na Serikali.
5. Wanafunzi wa Elimu ya juu kucheleweshewa Mikopo.
6. Mgao wa Umeme usiokwisha.
7. Mgambo wanavyonyanyasa Wamachinga,Bodaboda na Mama Lishe.

Endeleeni tu kushangaa ila msishangae siku ya kuapishwa Lowassa.


Hatukushangaa alijaza mikutano Mrema akaja kuijaza Slaa itakuwa hili babu gonjwa linalotuma mabasi kutangulia kila mkutano?

Unanchekesha!
 
Labda hao ni bodaboda wako hapa mwanza 90% ya bodaboda zote zinapeperusha bendera ya chadema safari hii tumewakamata
 
dah..... masikin magamba hamna la kusema lenye uzito tena..... subiri tuwazike tu.... ufisad ugonjwa kununua watu lakin hamjaambulia hata mmoja

Nape alipoanzisha operesheni vua gamba, gamba mojawapo na kubwa kabisa ni Lowassa. Kwahiyo wote mnaomshabikia Lowassa ni magamba. Na bado wanaendelea kuvuka magamba wengine
 
Lowassa ndie mkombozi wa taifa hili jamani na ccm ikipita jiandaeni kula nyasi na kutumia udongo kama unga
 
Hatukushangaa alijaza mikutano Mrema akaja kuijaza Slaa itakuwa hili babu gonjwa linalotuma mabasi kutangulia kila mkutano?

Unanchekesha!

Aisee nilikua sijui kama hawa watu wako kwenye Mabasi wanarudishwa makwao.

Inabidi nikamuone Specialist wa Macho inawezekana nina hitilafu.
 
Elimu ndogo mtaji wa ccm.!

Boda Boda ..... Mama Ntilie... Uamsho... Babu Seya... Mzee wa Misukule...UDINI....UKABILA....kumbatia Mafisadi.... Utawala wa Kikanda MITAJI YA UKAWA
 
Boda Boda ..... Mama Ntilie... Uamsho... Babu Seya... Mzee wa Misukule...UDINI....UKABILA....kumbatia Mafisadi.... Utawala wa Kikanda MITAJI YA UKAWA
Weka ugaidi weka kila aina la neno unalotaka.... UKAWA tutawachagua....

Mtaji wa ccm ni UJINGA....
 
Endeleeni kuota siku mkiamka mtakuta rais wa tz ni lowassa.

Nani atamtangaza? Nasikia Mabere Marando aliyeahidi kumtangaza yuko nchi za nje! Ili awe rais lazima atangazwe na kupewa cheti. Nani atamtangaza? Haya, nani atampa cheti?
 
asikudanganye mtu mimi naishi mwanza na boda boda na mama ntilie lowassa ndo mpango ,alafu star tv tushaishtukiaga hatunaga mpango nayo hapa ni ITV na AZAM TV kwa habari za kweli na uhakika
 
Wengi mnashabikia kifo ila hamjui..Hakuna chama kitakacho kubali kushindwa..na nyinyi ndio vyambo..mkifa wao wataneemeka..
 
Kila mwenye akili timamu lazima ajitenge na ukawa hawezi kuvumilia utapeli wa siasa za Lowasa na chagadema.

Hapa ni pale mtu mzima anapojivika black mask na kuwashambulia watoto wake akidhania hawatamfahamu sitaki ufahamu
 
Star tv ni bomu,na siwapendi hata tone,mipango imeandaliwa,pesaaa hiziiii ,wakati kuna watoto wanakaa chini mashuleni
 
Back
Top Bottom