Bodaboda na mama ntilie Mwanza wajitoa kuiunga mkono UKAWA

Bodaboda na mama ntilie Mwanza wajitoa kuiunga mkono UKAWA

Vikundi vya vijana wa bodaboda na mama ntilie wajitoa rasmi kumuunga mkono mgombea urais ukawa baada ya kuahidiwa mapesa kwa zaidi ya miaka 2 na kuzunguka nchi nzima kushawishi vijana na akina mama wamuunge mkono katika harakati zake. Wameona ni utapeli mtupu.

Chanzo star TV SAA 2 usiku huu.
Teamubwabwa Pure Political Propaganda.
 
Last edited by a moderator:
Vikundi vya vijana wa bodaboda na mama ntilie wajitoa rasmi kumuunga mkono mgombea urais ukawa baada ya kuahidiwa mapesa kwa zaidi ya miaka 2 na kuzunguka nchi nzima kushawishi vijana na akina mama wamuunge mkono katika harakati zake. Wameona ni utapeli mtupu.

Chanzo star TV SAA 2 usiku huu.

Wengeshajitoa kabla hajafika mwanza, watu wamedeki barabara kwa sababu wanaimani naye, eti uje na uzi wako wa kipuuzi wamejitoa:what: sikia ccm hamna jipya mnajaribu kujifariji tu, uchaguzi huu mtake msitake mtataga tu..!!
 
Vikundi vya vijana wa bodaboda na mama ntilie wajitoa rasmi kumuunga mkono mgombea urais ukawa baada ya kuahidiwa mapesa kwa zaidi ya miaka 2 na kuzunguka nchi nzima kushawishi vijana na akina mama wamuunge mkono katika harakati zake. Wameona ni utapeli mtupu.

Chanzo star TV SAA 2 usiku huu.

Mnafikiri hatuwajui mbinu zenu za kukusanya watu nakuwavisha fulana za chadema nakuwapitisha barabarani. Mnajisumbua bure. Ccm ndo matapeli kwa miaka zaidi ya hamsini.
Watanzania wapo hoi sababu ya ccm. Leo munatuletea maigizo hapa. Nani asio jua star tv na u ccm wake? Mwanza wameshawajua kitambo na utapeli wa ccm. Viva Ukawa!
 
Lowassa amesha fungishwa virago Mwanza kitaaaaaambo

Na hapo ndio walikua wanamfukuza kabisa asirudi ila ye alivyo na roho ngumu amepanga kurudi tena kabla ya Uchaguzi.
Hivi hao watu watamuacha salama kweli?
 

Attachments

  • 1444962731862.jpg
    1444962731862.jpg
    52.4 KB · Views: 468
  • 1444962762278.jpg
    1444962762278.jpg
    71.9 KB · Views: 456
Nnawashangaa sana watu wanaemuunga mkono Lowassa ambae chadema ilituaminisha kuwa ni fisadi hatari sana.

Nnashangaa sana watu wanaemuunga mkono mtu ambae ametemwa na CCM mara tatu.

Nnashangaa sana watu wanaemuunga mkono mtu asiyeonesha hisia zozote aonekanapo.

Lowassa ni kama robot.

Kushangaa ni jadi yenu kwani hata Mwenyekiti wenu anashangaa Nyomi la Mikutano ya UKAWA mpaka anasema ni za ku edit.

Kubwa zaidi mgombea wenu ndio bingwa wa kushangaa eti kila siku anashangaa kwanini:

1. Hospitalini hakuna Dawa.
2. Twiga kupanda Ndege.
3. Rushwa iliyokithiri ndani ya Chama na Serikali.
4. Wakulima masikini kukopwa mazao yao na Serikali.
5. Wanafunzi wa Elimu ya juu kucheleweshewa Mikopo.
6. Mgao wa Umeme usiokwisha.
7. Mgambo wanavyonyanyasa Wamachinga,Bodaboda na Mama Lishe.

Endeleeni tu kushangaa ila msishangae siku ya kuapishwa Lowassa.
 
..subirini siku ifike ya kumaliza kampeni ndio mtajua vizuri; nyie si mtakua na makufuli, upande wa pili watakuwepo wenje na sumaye..then ndio mtaona vizuuri hao bodaboda wamejitoa wapi..
in the mean time, endeleeni kujitekenya.!!

Mkuu nimeshawaambia siku hiyo ndio watajua kua General Wenje Nyamagana ni zaidi ya CCM Taifa kwani hawata amini macho yao pale Mkutano wa Mbunge ukiwa mkubwa zaidi ya Mkutano wa Mgombea wao wa Urais.
 
"Star TV (Sahara Media) siku hizi fungu la ccm linewasaidia kulipa mishahara ya wafanyakazi eeh, lakini naamini mmepoteza credibility yenu na hamtakaa muirudushe milele, .....ujumbe wangu tukutane tar 25 Oct 2015 ....mtatoa mapovu saana magamba mwaka huu

Mkuu unalosema ni sahihi, mtoto wangu wa miaka sita alienidai Kombati aliniuliza siku moja nilipo kua naangalia Kipindi kinachorushwa na StarTv J'pili cha Mkikimkiki wa Uchaguzi Mkuu, aliniuliza Baba kwani na we ni CCM siku hizi nikamjibu kwa nini unaniuliza hivyo? Akaniambia mbona unaangalia hiyo Channel ya CCM? Nilistaajabu sana siku hiyo nikasema StarTv kwisha habari yao.
 
Mbinu za Lowassa zitagundulika na kumfanya apoteze umaarufu ghafla na kukosa hata milioni nne ya kura.

Kiukweli watu wa mjini tunadanganyana sana! Kura milioni 4 kwa Lowassa ni nyingi sana! Tofauti ni kuwa tupo wengi ambao hatujapanga kumpa Lowassa au Magufuli kura na tuko tayari kusapoti vyama vingine ila tuko kimya. Pia wapiga kura wa CCM wengi kimya hawapayuki mitandaoni. Tatu wapiga kura wa CCM wengi wako vijijini na wana elimu ndogo hawajafikiwa na mitandao ya kijamii. Magufuli atashinda hands down. Hii ni dhahiri. Na ni unfortunate kuwa upinzani hususan Ukawa wamekuwa tayari kuchukua risk au gamble kubwa hivi bila kujua hali ya mgombea.
Sasa wameanza kukimbiana, wafadhali wao pia wameona hakuna dalili ya kushinda wamerudi kujikomba kwa CCM, na Magufuli ataingia kiulaini bila much scrutiny!
Wasaliti ni akina Mbowe waliotufikisha hapa kwa tamaa ya pesa.
 
Wewe mwenye akili timamu uliambulia nini na ukoo wako kwa miaka 54 ya ccm madarakani? You are a severe scythian and great imbicile ever,pole sana with your useless and junk ccm!

Kuwa mvivu utegemee kuambulia msaada utakaokunufaisha wewe na ukoo wako. Eti wanataka mabadiliko ili wapate vitu kirahisi rahis bila kufanya kazi!!! Mtu anayesema kwamba miaka 54 serikali haikufanya kazi akapimwe hakili. HAPA KAZI TU.
 
Ndio maana simiyu iko nyuma sana kimaendeleo na ndio maana ccm wanashinda sana huko maana mtaji wa ccm ni ujinga wa wananchi
 
Star tv ndio channel gani hiyo me najua itv chanel ten na azam tv au hiyo ya burundi nn? Nawasilisha
 
Kiukweli watu wa mjini tunadanganyana sana! Kura milioni 4 kwa Lowassa ni nyingi sana! Tofauti ni kuwa tupo wengi ambao hatujapanga kumpa Lowassa au Magufuli kura na tuko tayari kusapoti vyama vingine ila tuko kimya. Pia wapiga kura wa CCM wengi kimya hawapayuki mitandaoni. Tatu wapiga kura wa CCM wengi wako vijijini na wana elimu ndogo hawajafikiwa na mitandao ya kijamii. Magufuli atashinda hands down. Hii ni dhahiri. Na ni unfortunate kuwa upinzani hususan Ukawa wamekuwa tayari kuchukua risk au gamble kubwa hivi bila kujua hali ya mgombea.
Sasa wameanza kukimbiana, wafadhali wao pia wameona hakuna dalili ya kushinda wamerudi kujikomba kwa CCM, na Magufuli ataingia kiulaini bila much scrutiny!
Wasaliti ni akina Mbowe waliotufikisha hapa kwa tamaa ya pesa.

Kwa hiyo ujinga ndi mtaji wenu wa kisiasa?kumbe!
 
Kweli kabisa..........

attachment.php



Kama nilivyofanya jana kupita katika WILAYA YA ILEMELA......leo nitahamia NYAMAGANA.... nitaanzia mkorani, Nyegezi, luchelele, Butimba,Igogo na Mjini....na Jioni Hatima ya Mwanza CITY kabla ya ujio wa MAGUFULI itajulikana,,kumbuka tathmini ya Jana kwa vitongoji vya ILEMELA UKAWA imekula kwao hata udiwani hawatapata!
 
Watu wa Mwanza wamemua kula kila senti watakayohongwa, lkn kura ni LOWASSA!

Mtahonga sana mwaka huu!!
 
Kama nilivyofanya jana kupita katika WILAYA YA ILEMELA......leo nitahamia NYAMAGANA.... nitaanzia mkorani, Nyegezi, luchelele, Butimba,Igogo na Mjini....na Jioni Hatima ya Mwanza CITY kabla ya ujio wa MAGUFULI itajulikana,,kumbuka tathmini ya Jana kwa vitongoji vya ILEMELA UKAWA imekula kwao hata udiwani hawatapata!

Elimu ndogo mtaji wa ccm.!
 
Nnawashangaa sana watu wanaemuunga mkono Lowassa ambae chadema ilituaminisha kuwa ni fisadi hatari sana.

Nnashangaa sana watu wanaemuunga mkono mtu ambae ametemwa na CCM mara tatu.

Nnashangaa sana watu wanaemuunga mkono mtu asiyeonesha hisia zozote aonekanapo.

Lowassa ni kama robot.

dah..... masikin magamba hamna la kusema lenye uzito tena..... subiri tuwazike tu.... ufisad ugonjwa kununua watu lakin hamjaambulia hata mmoja
 
Back
Top Bottom