Bodaboda na mama ntilie Mwanza wajitoa kuiunga mkono UKAWA

Teamubwabwa

Senior Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
172
Reaction score
59
Vikundi vya vijana wa bodaboda na mama ntilie wajitoa rasmi kumuunga mkono mgombea urais UKAWA baada ya kuahidiwa mapesa kwa zaidi ya miaka 2 na kuzunguka nchi nzima kushawishi vijana na akina mama wamuunge mkono katika harakati zake.

Wameona ni utapeli mtupu.

Chanzo: Star TV Saa 2 usiku huu.
 
Kila mwenye akili timamu lazima ajitenge na ukawa hawezi kuvumilia utapeli wa siasa za Lowasa na chagadema.

Wewe mwenye akili timamu uliambulia nini na ukoo wako kwa miaka 54 ya ccm madarakani? You are a severe scythian and great imbicile ever,pole sana with your useless and junk ccm!
 
Vikundi vya vijana wa bodaboda na mama ntilie wajitoa rasmi kumuunga mkono mgombea urais ukawa baada ya kuahidiwa mapesa kwa zaidi ya miaka 2 na kuzunguka nchi nzima kushawishi vijana na akina mama wamuunge mkono ktk harakati zake. Wameona ni utapeli mtupu.

Chanzo star TV SAA 2 usiku huu.

Thubutuuuuuuuu!!Pamoja na jitihada za wazi za kada Magesa Mulongo ambaye yupo busy na kukinusuru chama kilichoishiwa pumzi na kifo badala ya kuleta maendeleo ya kiuchumi bado UKAWA wapo juu na LOWASSA ANANG'ARA!!
 
Kila mwenye akili timamu lazima ajitenge na ukawa hawezi kuvumilia utapeli wa siasa za Lowasa na chagadema.

Vikundi vya vijana wa bodaboda na mama ntilie wajitoa rasmi kumuunga mkono mgombea urais ukawa baada ya kuahidiwa mapesa kwa zaidi ya miaka 2 na kuzunguka nchi nzima kushawishi vijana na akina mama wamuunge mkono ktk harakati zake. Wameona ni utapeli mtupu.

Chanzo star TV SAA 2 usiku huu.

Endeleeni kuota siku mkiamka mtakuta rais wa tz ni lowassa.
 
Vikundi vya vijana wa bodaboda na mama ntilie wajitoa rasmi kumuunga mkono mgombea urais ukawa baada ya kuahidiwa mapesa kwa zaidi ya miaka 2 na kuzunguka nchi nzima kushawishi vijana na akina mama wamuunge mkono ktk harakati zake. Wameona ni utapeli mtupu.

Chanzo star TV SAA 2 usiku huu.

Kumbe wewe hata Nyerere akifufuka wewe bado mabadiliko kwako ni mwiko kama bado unaangalia Star Tv
 
Kweli kabisa..........

attachment.php

Kimenuka kimenuka
 
Vikundi vya vijana wa bodaboda na mama ntilie wajitoa rasmi kumuunga mkono mgombea urais ukawa baada ya kuahidiwa mapesa kwa zaidi ya miaka 2 na kuzunguka nchi nzima kushawishi vijana na akina mama wamuunge mkono ktk harakati zake. Wameona ni utapeli mtupu.

Chanzo star TV SAA 2 usiku huu.

Star tv hawana lolote,wanawakilisha ccm,habari zao ni za kuegemea upande
 
CCM kifo tar. 25 Oct.... rusha mateke ya mwisho..!!!

Lowassa, Ukawa ni mpango wa Mungu
 
CCM ikiwa haina tena wafuasi wa kuwafanya washinde uchaguzi huu hata coornation yao imepoteana kila mmoja anaenda kivyakevyake.

Mtaimbo umewaganda na hautachomolewa lazima watakufa nao !Chama gani hiki cha CCM kimebakiwa na viongozi wala na wapenda rushwa na ufisadi.

Miccm mnao mtaimbo chapa UKAWA umewaganda na morani azidi kuudidimiza !
 
Back
Top Bottom