Bodaboda na mama ntilie Mwanza wajitoa kuiunga mkono UKAWA

Bodaboda na mama ntilie Mwanza wajitoa kuiunga mkono UKAWA

Star Tv tushawazoea mbna
Wakazane tu
Cc na Lowasa tu
 
Kutetea mafisadi kazi sana mwaka huu mnalo hilo fisadi sijui mtaliuza wapi labda muuze kama bidhaa chakavu.

katika ile list ya mafisadi iliyotajwa pale mwembeyanga dar na dr. slaa 10 wako ccm wengine wakigombea ubunge na wengine wakimpigia kampeni makufuli..
 
Vikundi vya vijana wa bodaboda na mama ntilie wajitoa rasmi kumuunga mkono mgombea urais ukawa baada ya kuahidiwa mapesa kwa zaidi ya miaka 2 na kuzunguka nchi nzima kushawishi vijana na akina mama wamuunge mkono ktk harakati zake. Wameona ni utapeli mtupu.

Chanzo star TV SAA 2 usiku huu.
Mbinu za Lowassa zitagundulika na kumfanya apoteze umaarufu ghafla na kukosa hata milioni nne ya kura.
 
Vikundi vya vijana wa bodaboda na mama ntilie wajitoa rasmi kumuunga mkono mgombea urais ukawa baada ya kuahidiwa mapesa kwa zaidi ya miaka 2 na kuzunguka nchi nzima kushawishi vijana na akina mama wamuunge mkono ktk harakati zake. Wameona ni utapeli mtupu.

Chanzo star TV SAA 2 usiku huu.

Awajitambui iko siku wataujutia muda wanaopoteza
 
Lowassa amesha fungishwa virago Mwanza kitaaaaaambo

Mwanza sio ndani ya studio za Star Tv na RFA, Mwanza ni zaidi ya hapo. Kama ni kufungishwa virago hapo studio basi hilo mbona la siku nyingi! Lakini nje ya hapo ni habari ingine bw. chini.
 
Mchezo umesukwa na StarTv.......propaganda za kitoto sana.
MASABURI alijaribu kuitumia Itv kwa mchezo huo watu wakacharazwa viboko.
 
bodaboda na mama wa ccm wajitoa ukawa
 
Kutetea mafisadi kazi sana mwaka huu mnalo hilo fisadi sijui mtaliuza wapi labda muuze kama bidhaa chakavu.

Yaani ndugu yangu Siminyu unataka kuniambi bado upo na hoja yako hii ya Ufisadi mpaka leo? Profile picha yako haiendani na kitu unacho andika nikitegemea kabisa habari za ufisadi zipo ndani ya CCM. Kuna msemo fulani una husisha wanya waporini unao sema " Nyani haoni ........Yaani ana mcheka mwenzie pasipo kufikiri kwamba na yeye kaharibika vibaya. Toa sababu zingine za msingi angalau siku moja moja.
 
Vikundi vya vijana wa bodaboda na mama ntilie wajitoa rasmi kumuunga mkono mgombea urais ukawa baada ya kuahidiwa mapesa kwa zaidi ya miaka 2 na kuzunguka nchi nzima kushawishi vijana na akina mama wamuunge mkono ktk harakati zake. Wameona ni utapeli mtupu.

Chanzo star TV SAA 2 usiku huu.

Shida yao ilikuwa wapewe pesa halaf waseme lowassa anatoa rushwa kwa wapiga kura..
 
Nnawashangaa sana watu wanaemuunga mkono Lowassa ambae chadema ilituaminisha kuwa ni fisadi hatari sana.

Nnashangaa sana watu wanaemuunga mkono mtu ambae ametemwa na CCM mara tatu.

Nnashangaa sana watu wanaemuunga mkono mtu asiyeonesha hisia zozote aonekanapo.

Lowassa ni kama robot.
 
Back
Top Bottom