VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 8,999
- 14,246
Mjini unalima wapi? Ficha upumbavuWakulima tunaogopa hata kulima mashamba yetu yule mtangazaji wenu uchwara wa CNN akiona shamba limepaliliwa anasema ni ushahidi wa kaburi la halaiki

Subiri siku ifike ila uwe umeweka akiba ya chakula cha wiki km 2 ndani si umeshawasikia bodaboda wametupa taulo chiniKwani tarehe 9 kuna machafuko yanakuja ? siku ya uhuru raia hawana uhuru wa kutoka na kujitafutia chochote🐼
Nani kawadanganya kuwa waandamanaji watapanda boda boda au bajaji?Shirikisho la Vyama vya Madereva Bodaboda na Bajaji na Uongozi wa Machinga mkoa wa Dar es Salaam, wameahidi kutofanya kazi siku ya Disemba 9, 2025, kwa madai kuhofia kuingizwa kwenye mkumbo wa watu wanaofanya vurugu, kufuatia tetesi za kuwepo kwa maandamano yanayohamasishwa mitandaoni.
Viongozi wa Shirikisho hilo na wa Machinga mkoa wa Dar es Salaam, Said Kagomba na Namoto Yusuph wakitoa salamu zao katika Kongamano la kupongeza Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliyoitoa wakati wa ufunguzi wa Bunge la 13 jijini Dodoma, wameweka wazi msimamo wao kuelekea siku ya Disemba 9, 2025.
Kauli hiyo imeungwa mkono na Mkuu wa wilaya ya Ilala na mwenyekiti wa kamati ya usalama ya wilaya hiyo Edward Mpogolo, aliyeahidi kulifikisha katika vikao husika, huku Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi Ilala Kamishna wa Polisi Yustino Mgonja, akieleza mikakati ya jeshi hilo katika kuwalinda raia na mali zao.
Wale wauaji baadhi ndio walikua wanakodi boda na kwenda kuua watu wanafahamika km janjaweed green guardsNani kawadanganya kuwa waandamanaji watapanda boda boda au bajaji?
Safari hii lazima niwasaidie polisi kuwatanguliza nyumbu akhera, nimeanza kunoa panga tangu wiki iliyopita nikikutana na nyumbu mwizi na muharibifu wa mali ya mtu yoyote lazima nichinje hata nyumbu watatu kwa mkono wangu siku hiyo.Sheikh Bakonzi una vituko,
Hutaki vichwa vya waandamanaji tena?
Mimi mwenyewe ni boda boda na tarehe tisa nitaendelea na shughuli zangu, siwezi kukaa ndaniSubiri siku ifike ila uwe umeweka akiba ya chakula cha wiki km 2 ndani si umeshawasikia bodaboda wametupa taulo chini
Haya wewe piga kaziMimi mwenyewe ni boda boda na tarehe tisa nitaendelea na shughuli zangu, siwezi kukaa ndani
Naomba niliulize wamesema tarehe9 tu au tarehe9 na kuendeleaShirikisho la Vyama vya Madereva Bodaboda na Bajaji na Uongozi wa Machinga mkoa wa Dar es Salaam, wameahidi kutofanya kazi siku ya Disemba 9, 2025, kwa madai kuhofia kuingizwa kwenye mkumbo wa watu wanaofanya vurugu, kufuatia tetesi za kuwepo kwa maandamano yanayohamasishwa mitandaoni.
Viongozi wa Shirikisho hilo na wa Machinga mkoa wa Dar es Salaam, Said Kagomba na Namoto Yusuph wakitoa salamu zao katika Kongamano la kupongeza Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliyoitoa wakati wa ufunguzi wa Bunge la 13 jijini Dodoma, wameweka wazi msimamo wao kuelekea siku ya Disemba 9, 2025.
Kauli hiyo imeungwa mkono na Mkuu wa wilaya ya Ilala na mwenyekiti wa kamati ya usalama ya wilaya hiyo Edward Mpogolo, aliyeahidi kulifikisha katika vikao husika, huku Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi Ilala Kamishna wa Polisi Yustino Mgonja, akieleza mikakati ya jeshi hilo katika kuwalinda raia na mali zao.
Kabla ya 29 October matamko yalikuwa mengi hadi mama Abdul alisema hakutakiwa na 'nywi nywi nywi' kwahiyo hayo matamko tumeshayazoea.Shirikisho la Vyama vya Madereva Bodaboda na Bajaji na Uongozi wa Machinga mkoa wa Dar es Salaam, wameahidi kutofanya kazi siku ya Disemba 9, 2025, kwa madai kuhofia kuingizwa kwenye mkumbo wa watu wanaofanya vurugu, kufuatia tetesi za kuwepo kwa maandamano yanayohamasishwa mitandaoni.