Uzuri wake iyo pikipiki inapakia abiria wengi,halafu siku wakikosa hao abiria hata mchanga watabeba,Iyo nayo ni moja ya kiwanda kinakachotembea
Musoma yote ile kitu ni kama mboga tuHuyu Jamaa siyo mfuasi wa bob kweli?
Yeye kasema matela ya kubebea abiria siyo side car na amesema hiyo itawasaidia kubeba watu wengi. Soma vizuri nukuu yake. Side car utabebaje abiria wengi? Maana yake ni yale yanayofungwa nyuma na kuvutwa siyo pembeni.
Huu ndo uzuri wa JAMII FORUMTatizo limeanzia mbali sanaaaView attachment 807064