Bobi Wine: Polisi Bunduki Mlizobeba zina thamani kuliko nyie

Bobi Wine: Polisi Bunduki Mlizobeba zina thamani kuliko nyie

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Bobi Wine kwa polisi wa Uganda: "Ndugu maofisa, bunduki mliyobeba ina thamani ya dola 2,000 za Marekani (kshs 258,000). Angalia jinsi bunduki hiyo inavyoonekana bora kuliko wewe, ilhali unalipwa Sh14,000 pekee. Kwa nini bunduki hiyo inaonekana bora kuliko wewe?"

Japo Bobi Wine amesahau bunduki hiyo ikishanunuliwa mara moja haininuliwi tena ila Askari analipwa kila mwezi hadi kustaafu kwake... cha msingi kuboresha maslahi tu
 
Mgombea urais wa Uganda, Bobi Wine, aliwahutubia hata maafisa wa polisi waliomzingira kwenye mkutano wake Kasese, akiahidi kuwa chini ya urais wake wataboreshwa mishahara na hadhi. Kampeni za Uchaguzi Mkuu zinaendelea huku Bobi Wine akionekana mpinzani mkuu wa Rais Museveni, licha ya kukabiliwa na upinzani kutoka vyombo vya dola.
Yaani hata M7 anatuzidi kwa kuruhusu challenge kutoka kwa mpinzani wake mkuu!
 
Back
Top Bottom