Maisha matakatifu ya Bob Marley, jicho makini lenye kusoma mazingira. Mtu mwenye utu na mwenye Upendo wa hali ya juu. Siku zote Bob atabaki kuwa mfalme wa Maisha yangu.
Ni mmoja wa wanamuziki ninao wakubali saana. Aliweza kuunganisha muziki, dini na siasa. Pamoja na pesa nyingi alizokuwa nazo bado alikuwa mnyenyekevu sana kwa watu. Lakini kizuri hakidumu ameondoka akiwa kijana saaana.