TANZIA Bob Makani afariki dunia

Aliitumikia Tanzania, akaijenga CDM na upinzani Tanzania, na sasa Mungu amemtanguliza mbele ya haki. R.I.P. Comrade Makani. Ukifika msalimie Nyerere, mweleze kuwa CDM itaichukua nchi 2015.

Maombelezo mengine bana.
 
Kazi uliyoianzisha kuleta mabadiliko sasa imepemba moto,Kijana uliyetupa kuongoza harakati za mabadiliko amefanya kazi yake barabara.Hivyo basi kijiti ulichomkabidhi imeonyesha jinsi gani ulivyokuwa think tank ya CDM na mabadiliko kutoka uatawala wa kifedhuli kwenda utawala wa wananchi.Hakika tutakukumbuka na kukuenzi.

R.I.P Mohamed Bob Nyanga Makani
 
Makani.jpg

RIP Mzee Bob Makani
Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi

Amina

Amina. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi.

qet4lu1YSz+GYVimie6977sss5kT0ryYZYR0CIwAcRwHTGghQfFjuNsMhCwnlwBXU7QZTqpRbJ4RqjRXIvkcIWQIIUcqRUIoYHUpoYjRjUK0JcbafGxaHJiJb3hPdN2ewXMu+C+aU67nrJZuaAAAAABJRU5ErkJggg==

Yatasemwa mengi sana mazuri kuhusu Bob Makani katika medani ya siasa. Na yatakuwa ya kweli. Niongeze hili moja tu kuhusu Mzee Makani ambalo aliniambia akiwa katika ofisi yake eneo la Co-Cabs pale Kidongo Chekundu: kwamba siasa inahitaji Uvumilivu mkubwa sana.

Alisema hili akiwa katika shida kubwa sana kifedha, baada ya mapato yake binafsi kuyumba kwa sababu ya kuhujumiwa na waliotaka Chadema kuyumba miaka ya mwanzoni--yaani miaka ya 1993 - 96 hivi. Wateja wake wengi katika Practice yake ya Law walikuwa Wahindi. Wahindi hao walipewa onyo na taasisi fulani za serikali kwamba wakiendelea kumtumia Mzee makani kama mwanasheria wao, basi taasisi hizo zingechukua hatua ambazo zingeathiri biashara za Wahindi wale, na wahindi wengi wakaondoa mahitaji yao ya huduma za kisheria kutoka kwa Mzee Makani na kusababisha njaa kubwa kwa mwanachadema huyu.

Shughuli nilizokuwa nikifanya wakati huo zilinileta karibu na Bob Makani kiasi cha kutosha akanisimulia habari hii kwa uchungu sana ofisini kwake; lakini alichokisema mwishoni kikawa kwamba Siasa hataiacha kwa sababu ya hujuma hiyo, kwa kuwa Tanzania ilihitaji mabadiliko.

Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi.
 
Makani, wewe ni shujaa, kazi yako imetunufaisha watanzania wote na tutakukumbuka daima. RIP baba Makani.
 
When we loose such a special person in our life, time seems to stop. However, it is important that we start to live again with a smile on your face so that we can make his soul happy, as he is still looking at us even if we can’t. R.I.P BOB MAKANI.
 
Habari za uhakika muda mchache uliopita nimepata taarifa ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema kabla ya Mbowe... Mzee Bob Makani amefariki.

R.I.P Bob Makan

Kwasababu ya msiba huu, CHADEMA wamesitisha Operesheni Okoa Kusini na wanarejea Dar kwa shughuli ya msiba.

Source: Kutoka kwa ndugu zake.
R.I.P mzee wetu , ila huyu mzee cdm walimtupa na hawakumpa hata matibabu apart from mchango mkubwa alioutoa kwenye chama
 
R.I.P Bob Makani we loved but God loves u more. We will continue to remember u for all things u done to us so as to fight for liberation movement of new colonialism.
 
Amina. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi.

qet4lu1YSz+GYVimie6977sss5kT0ryYZYR0CIwAcRwHTGghQfFjuNsMhCwnlwBXU7QZTqpRbJ4RqjRXIvkcIWQIIUcqRUIoYHUpoYjRjUK0JcbafGxaHJiJb3hPdN2ewXMu+C+aU67nrJZuaAAAAABJRU5ErkJggg==

Yatasemwa mengi sana mazuri kuhusu Bob Makani katika medani ya siasa. Na yatakuwa ya kweli. Niongeze hili moja tu kuhusu Mzee Makani ambalo aliniambia akiwa katika ofisi yake eneo la Co-Cabs pale Kidongo Chekundu: kwamba siasa inahitaji Uvumilivu mkubwa sana.

Alisema hili akiwa katika shida kubwa sana kifedha, baada ya mapato yake binafsi kuyumba kwa sababu ya kuhujumiwa na waliotaka Chadema kuyumba miaka ya mwanzoni--yaani miaka ya 1993 - 96 hivi. Wateja wake wengi katika Practice yake ya Law walikuwa Wahindi. Wahindi hao walipewa onyo na taasisi fulani za serikali kwamba wakiendelea kumtumia Mzee makani kama mwanasheria wao, basi taasisi hizo zingechukua hatua ambazo zingeathiri biashara za Wahindi wale, na wahindi wengi wakaondoa mahitaji yao ya huduma za kisheria kutoka kwa Mzee Makani na kusababisha njaa kubwa kwa mwanachadema huyu.

Shughuli nilizokuwa nikifanya wakati huo zilinileta karibu na Bob Makani kiasi cha kutosha akanisimulia habari hii kwa uchungu sana ofisini kwake; lakini alichokisema mwishoni kikawa kwamba Siasa hataiacha kwa sababu ya hujuma hiyo, kwa kuwa Tanzania ilihitaji mabadiliko.

Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi.
RIP mzee Makani. Hata siku ambazo NCCR walionekana kuwa na nguvu chini ya Mrema, CCM na serikali yake walijua chama tishio kwao kitakuja kuwa CDM, kwani pamoja na hujuma zao zote bado walishindwa kukisambaratisha.
 
Galatians 6: "For each one shall bear his own load."

2 Timothy 4:6-7 "For i am already being poured out as a drink offering, and the time of my departure is at hand. I have fought the good fight, I have finished the race, I have kept the faith."
 
Back
Top Bottom