Boarding uliyosoma ilikuwa na kunguni?

Boarding uliyosoma ilikuwa na kunguni?

Nafikiri karibu shule zote za boarding enzi hizo, miaka ya 90 kurudi nyuma hao wadudu walikuwa wenyeji mabwenini na wanafunzi wageni. Ilikuwa shiiiida!
 
Hata iliyokuwa inaitwa Mazengo Secondary pale Dodoma ( sasa st. John University) ilikuwa na kunguni si haba. Nikiwa A level tulikuwa na mwalimu wa hesabu wa kihindi alikuwa mvivu sana , alikuwa anafundisha hesabu akiwa amekaa. Dawa yake tulitafuta viti vyenye kunguni wengi tukamwekea mbele, kila akijaribu kukaa kwenye kiti chochote na kukunja miguu kunguni wanamgombania kama mpira wa kona. Mwenyewe alikoma tabia ya kufundisha akiwa amekaa
 
Hahahahahahaha dah,
 
pugu ni capital ya kunguni

kweli mkuu, pugu wapo sana hasa kwa wale tuliokuwa mabweni ya mapinduzi..ila walinifanya ni adapt kupiga msuli yatima, nalala mchana tu, likishaingia giza naelekea darasani. Viva pugu
 
hao kunguni wa Mazengo noma sana, wanang'ata mpaka mchana?? new species evolving.
 
kweli mkuu, pugu wapo sana hasa kwa wale tuliokuwa mabweni ya mapinduzi..ila walinifanya ni adapt kupiga msuli yatima, nalala mchana tu, likishaingia giza naelekea darasani. Viva pugu

Hehehe msuli yatima lol
 
Nafikiri karibu shule zote za boarding enzi hizo, miaka ya 90 kurudi nyuma hao wadudu walikuwa wenyeji mabwenini na wanafunzi wageni. Ilikuwa shiiiida!

bagamoyo sec sikuwahi kuwaona na nilimaliza 1996
 
Back
Top Bottom