Boarding uliyosoma ilikuwa na kunguni?

Boarding uliyosoma ilikuwa na kunguni?

ubuntuX

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
1,998
Reaction score
2,242
Hii picha ya boarding wakishemsha maji kwa ajili ya kuua kunguni

Tanga tech
 

Attachments

  • 1423163353497.jpg
    1423163353497.jpg
    74.6 KB · Views: 526
Kweli watoto wa mkulima hao. Hiyo ndo Tech ya ukwelii ukitoka hapo huambiwi kitu hujui
 
Mtwango njombe, nadhani pale ndio ilikuwa headquarter ya kunguni east and central Africa. Halafu hakukuwa na vyoo(cjui wamechimba siku hizi) watu tulikuwa tunajiachia maporini. Msimuone MARLAW vile, kaangusha sana magogo mwituni.
 
Hii picha ya boarding wakishemsha maji kwa ajili ya kuua kunguni

Tanga tech

Kama sio bweni la Chui hilo itakuwa Tembo maana hayo mabweni yana historia yake
 
kwani mlikuwa mnafuga kuku mabwenini hadi kuwe na kunguni?
 
Mabibo hostel E 112 tuliteseka sana nilikuwa nalala juu ya meza kila siku
 
Mungu aniepushe nao,sijawahi kumuona kunguni live!
kuna mwenye picha yake?
 
watu nane mbona eti gugo haijui neno kunguni
 
Mziki wa hawa wadudu si mchezo nakumbuka tushaa wahi andamana kisa hawa wadudu hadi bwana afya akaja kupulizia dawa!
 
Na mie ngoja nigoogle Watu8 nikuone maana nilivyokumisiiii??:banghead::screwy:

hewala HF...ukigoogle utapata kuona kamoyo kalikotobolewa na mshale huku vidamu vinachuruzika...halafu chini kuna maneno "ai misi yu"..
 
Last edited by a moderator:
hewala HF...ukigoogle utapata kuona kamoyo kalikotobolewa na mshale huku vidamu vinachuruzika...halafu chini kuna maneno "ai misi yu"..

Hahahaha nimekaona aiseee hebu kazuie usije ishiwa damu bureee
 
kwani mlikuwa mnafuga kuku mabwenini hadi kuwe na kunguni?

Hawa kunguni walikua kutoka enzi na enzi,wanapungua tu tukiwaaua..ilikua ni urithi wetu,mifugo yetu
 
Back
Top Bottom