Bloggers wenzangu nahitaji msaada wenu

ok mkuu..mimi sijawahi ku-boost huwa na share kawaida kwenye page na groups...kuna baadhi walio boost wakadai account zinafungwa adsense wana-assume kama unanunua traffic , kama imekupa matokeo chanya endelea..
Samahani Mkuu hivi ni Payment Method ipi rahisi na nzuri kutumia katika google adsense??.
 
usiboosr utafungiwa.....share kwa njia ya kawaida
Ebu funguka vizuri kuna dollar mia nataka kuzialibu facebook kwenye page yangu kwa ku boost post za tovuti yangu yenye adsense. Pia nataka ku promote website url to get more click in USA + Canada.
Ebu funga kwa details zaidi kama utajali.
 
ukiboost google watakuja kuikagua website yako, Sasa kama ikiwa umekiuka sheria zao kama copy and pasting, kutumia picha zenye copyright, spinning articles, etc hapo ndipo utafungiwa, Kuboost sio tatizo ila je unajiamini vya kutosha website yako ikikaguliwa utakuwa umefata kila sheria ya google asense?
 
Yah! coz picha zenye copyright uwa natoa credit, other na modify via adobe photoshop.
 
Yah! coz picha zenye copyright uwa natoa credit, other na modify via adobe photoshop.
Credits hazitambuliki kama huna ushahidi kwamba mwenye hizo picha kakukpa kibali cha kutumia picha zake na kumpa credit????😉😉, Hapo unachapwa fimbo ya "content curation "....Just be on the safe side..Usiboost post zako f.b unless unajiamini hata ukikaguliwa manually una uhakika kwamba kila sheria ya adsense umeifata.
 
Yah! coz picha zenye copyright uwa natoa credit, other na modify via adobe photoshop.
HAHA you have to pay credits in form of U.S dollars($) to the articles/photos owners,modification of those copyrighted photos/articles is better than nonsense>>>WORDS CREDITS..... Lol 😱😱😵😵
 
Una moyo wa dhahabu mkuu, mwaka 2018 uwe ni wenye mafanikio kwako kwa uwezo wa Mungu
 
western union kama unapata chini ya dollar 2000$, kama unapata madollars mengi kuanzia madollar 2000$++ tumia bank
Mkuu kat ya western union na wire transfer ipi ni bora ... Maana natumia crdb wire transfer earnings zangu hazijazidi 300$ naona wanakata pakubwa[emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Mkuu kat ya western union na wire transfer ipi ni bora ... Maana natumia crdb wire transfer earnings zangu hazijazidi 300$ naona wanakata pakubwa[emoji35] [emoji35] [emoji35]
western union ni free kabisa hawakati kitu na pesa unachukua siku hiyo hiyo.. bank unasubiri sometimes mpaka siku tano kusubiri bank wai-process...
 
Kama una digrii ya IT nadhani you can do something better than BLOGGER,,
MUDA UNAO WA KUTOSHA JARIBU ATA ANDROID APP DEVELOPMENT ITAKUTOA... FANYA UWE NA FAN UTAKAYORINGA NAYO LAKINI KAMA UMEKAZANA NA BLOGGING TU BASI ELIMU YAKO UNAPOTEZA BURE
 
Poa. sema nimefanya follow up, google adsense wanakukata mapato utakayo yapata kutokana na post uliyo iboost, wanakuibia invalid click due to promotion.
 
Poa. sema nimefanya follow up, google adsense wanakukata mapato utakayo yapata kutokana na post uliyo iboost, wanakuibia invalid click due to promotion.
poa kaboost mkuu utuletee mrejesho
 
Mhhh hii trick ni noma saana aisee Click 6 dolla $2 mhhh nimeiogopa mapema nisije nikawa suspended kwa tamaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mhhh hii trick ni noma saana aisee Click 6 dolla $2 mhhh nimeiogopa mapema nisije nikawa suspended kwa tamaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa hiyo suspension huwa haiji leo... Mwanzoni mwa mwezi ujao utaona email inaingi.....

Google AdSense policy ...unfortunately...... Suspended... [emoji23] [emoji23] [emoji23] nyie endeleeni tu kufanya mchezo na google
 
Mhhh hii trick ni noma saana aisee Click 6 dolla $2 mhhh nimeiogopa mapema nisije nikawa suspended kwa tamaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

hahaha waskutishe we kula mitonyo kwa server za canada fanya kwa wiki mara 3. google wako vyema ila kwa strong vpn & tricks hawanusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…