Blog za bongo

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
Wadau habari zenu naomba niulize swali eti hizi bllog za bongo ambazo kila siku zinakuwa nyingi je ni kwamba zinalipa na kama zinalipa how??
na kiwango chake wanaweza kuwa wanaingiza how much per months????
 
Blog ikishakuwa maarufu sana kama ya Michuzi au U-turn, Kampuni zinakuwa zinakulipa kuweka matangazo yao, ndo mana ukifungua mfano blog ya michuzi, mwanzoni utakuta matangazo mengi sana. Ndo kinachomlipa, zaidi ya hapo sidhani.


Il Gambino.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom