Blackberry unlock code any one to help me

Good place to get a unlock code for your Blackberry mobile ,
Just visit this site Mobile Unlocker , here it gives the unlock code along with easy instructions and methods for your mobile .........
 
Imei 355771013003998
mep-15326-002
Bofya HAPA
kisha click
Get your BlackBerry unlock code here: Click Here
Baada ya hapo shuka chini utakutana na Free Blackberry Unlock Code Request Form
Hapo katika hiyo form utatakiwa kujaza taarifa za simu yako, taarifa hizo ni
MEP ID
IMEI

PRD(optional) na
email yako

Sasa mtihani hapo ni kupata MEP ID, chini ya neno MEP ID kuna link inayoelekeza namna ya kuipata hiyo MEP ID kulingana na simu yako(huja sema una bb gani) ningekuelekeza vizuri zaidi

Uki click hiyo link ya kupata MEP ID itafungua page utakuta kuna aina mbili za kuiona hiyo MEP ID kwenye simu yako,

Yakwanza ni lazima uwe na Usb cable, BB desktop software installed in your pc na uta download kasftware kanaitwa MEP reader kisha fuata maelekezo kwa makini jinsi ya kupata MEP ID, kisha ukiipata rudi kwenye form yako na ingiza MEP ID uliyopata

Njia ya pili hii huitaji kuiunga na Pc, inaitwa Engineering Screen Method, hapa utaelekezwa namna ya ku access page ya Help Me ambapo utakuta taarifa utakazo jaza kwenye calculator form ambayo itacalculate key ya kuweza ku access page ya Engineering Screen ambayo ndio utakuta MEP ID, na baada ya hapo utarudi kwenye form yako kuingiza MEP ID.

Ukikamilisha kujaza na ku submit ndani ya masaa 24 wanakutumia unlock code free kwenye email yako
Kama una haraka sana unalipia na wanakutumia code baada ya masaa mawili.

Ukitumiwa unlock code yako bofya hapa Instructions kisha chagua aina ya BB yako utapata maelekezo jinsi ya kuingiza code na ku unlock BB yako

Ukikwama uliza, binafsi nime ulock BB kama 10+ bure kabisa kwa hii website
Good luck




 
Back
Top Bottom