Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 6,395
- 5,384
Hata kama ya zamani, bado inasomeka mpaka sasa na kesho, Watumishi wa Mungu wanaona mbali, ALIKWISHA JUA ZENGWE KAMA HILI LITATOKEAHivi kuna watu wazushi kama bongo???mbongo mda wate ana hamu,anatafuta atoeje hamu yake.Hii post ya Gwajima ni siku nyingi,nadhami 2016,mleta mada jichunge