Bishop Gwajima ajibu kwa aina yake

Bishop Gwajima ajibu kwa aina yake

Wafalme wa dunia wanajitayarisha;watawala wanashauriana pamoja,dhidi ya Mwenyezi-Mungu na mteule wake. 3Wanasema: “Tujiondoe katika utawala wao;tutupilie mbali minyororo yao!” 4Mwenyezi-Mungu atawalaye juu mbinguni,anawacheka na kuwadhihaki. 5Kisha, anawakaripia kwa ghadhabu,na kuwatisha kwa hasira, akisema:
Biblia gani hii ndugi
 
Ni mimi ndye sielewi lugha ya biblia au. Maana sion cha kushangaza apo
 
Wafuasi wa Gwajima na mashabiki wa Yanga kufurika polisi ijumaaa. Kazi kweli kweli.
 
Gwajima muuza ngada sishangai kukamatwa kwake hy mshenga ni mhalifu kiw@@@ango cha Phd.
 
Hivi kuna watu wazushi kama bongo???mbongo mda wate ana hamu,anatafuta atoeje hamu yake.Hii post ya Gwajima ni siku nyingi,nadhami 2016,mleta mada jichunge
 
Huyo Mbasha naye kanyang'anywe mbunye kwa ujinga wake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] khaaaaaa....mwanaume mzima unalalamika kuibiwa mke.
 
Hiloo andiko ni FEKI. nimefungua Biblia yangu, hilo neno "anacheka" halina "e" nyingi hivyo...yaani eeeeee....cheeeeeka!! Shame
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom