hahaaa kawawezaaDUUUU KAJA KIVINGINE
HahahWanamsubiri
![]()
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hata kama hahusiki na unga, afungwe tu kwa kulaghai wenzake kuwa ana uwezo wa kufufua wafu.
Hiki kichwa cha mshenga anakifahamu mwenyewe mkuu.Nilitegemea Sana Bishop Asingeweza Kukaa Kimya Ni Lazima Ajibu. Mtakumbuka Wakati Wa Kampeni Alimkemea Bulembo Vikali Sana
Alisema Nakuonya Abdallah Na Ukirudia Nitaweka Mambo Hadharani Na Nchi Itatilisika Sana Baada Ya Hapo Abdallah Akawa Mpole Sana. Bishop a.k.a Mshenga
Huyo Anayaweza Najua Atakuja Kwa Style Kama Hiyo ZABURI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nahisi huyu huyu ndiye amemfundisha mwenzie kunywa bapa nzima bila kula.
LeooHuu ujumbe kaandika lini?
AmenMhh kama kasingiziwa malipo yake atalipiwa na aketiye katika kiti cha enzi mbinguni usihofu mchungaji gwajima kama kweliuna muhubiri Yesu messiah na sio janja janja relax utambue any thing close to Jesus receives attack usife moyo mwenye mamlaka ya pumzi anaona kila uonevu hakika waliotajwa kwa kusingiziwa watalipwa machozi yao na the most high almighty God majesty.
[emoji28] [emoji28] [emoji134] [emoji134] [emoji126] [emoji125]Wame wenza hawa. Mke anauma ati [emoji23][emoji23][emoji23]