Bishop Gwajima ajibu kwa aina yake

Bishop Gwajima ajibu kwa aina yake

Chibudee

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2016
Posts
1,775
Reaction score
2,408
e68335a69af299074cdcc7fa367b1e90.jpg


Kwa mnae fatilia. Bibilia hapa gwajima kamjibu makonda

Kwadharaaau na maneno yanye kuchoma kumoyooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Naka turn off comment ataki zogooo

Bishop unabusara yapekee am Muslim pure but I like you much
 
Wafalme wa dunia wanajitayarisha;watawala wanashauriana pamoja,dhidi ya Mwenyezi-Mungu na mteule wake. 3Wanasema: “Tujiondoe katika utawala wao;tutupilie mbali minyororo yao!” 4Mwenyezi-Mungu atawalaye juu mbinguni,anawacheka na kuwadhihaki. 5Kisha, anawakaripia kwa ghadhabu,na kuwatisha kwa hasira, akisema:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom