Bishop Gwajima ajibu kwa aina yake

Bishop Gwajima ajibu kwa aina yake

Hii ni siasa jamani mambo yanayotokea wenyewe mnayaona mtu ambaye yuko timamu hapaswi kuamini kila anachoambiwa
 
Mhh kama kasingiziwa malipo yake atalipiwa na aketiye katika kiti cha enzi mbinguni usihofu mchungaji gwajima kama kweliuna muhubiri Yesu messiah na sio janja janja relax utambue any thing close to Jesus receives attack usife moyo mwenye mamlaka ya pumzi anaona kila uonevu hakika waliotajwa kwa kusingiziwa watalipwa machozi yao na the most high almighty God majesty.
 
e68335a69af299074cdcc7fa367b1e90.jpg


Kwa mnae fatilia. Bibilia hapa gwajima kamjibu makonda

Kwadharaaau na maneno yanye kuchoma kumoyooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Naka turn off comment ataki zogooo

Bishop unabusara yapekee am Muslim pure but I like you much
Kweli ana busara ya hali ya juu sana
 
Nilitegemea Sana Bishop Asingeweza Kukaa Kimya Ni Lazima Ajibu. Mtakumbuka Wakati Wa Kampeni Alimkemea Bulembo Vikali Sana

Alisema Nakuonya Abdallah Na Ukirudia Nitaweka Mambo Hadharani Na Nchi Itatilisika Sana Baada Ya Hapo Abdallah Akawa Mpole Sana. Bishop a.k.a Mshenga


Huyo Anayaweza Najua Atakuja Kwa Style Kama Hiyo ZABURI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom