Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,689
- 64,723
Makubwa,
mwone anavyonyonga kiuno,
looooh!!!
mwone anavyonyonga kiuno,
looooh!!!
sijaelew bado kwani nae ni shoga?
sijaelew bado kwani nae ni shoga?
Dalili za mwisho wa dunia zinajitokeza waziwazi
Dah hili jambo la Gays linakua kwa kasi sana
Nadhani wapendao.mashoga ni wengi sana kuliko wanaodate na Wanawake ndio maana wanapata suport kubwa sana
Eeh Mungu nusuru vizazi vyetu!!!!!
huyu askofu angekua india wangemfanya kitu kibaya sana.
Big up Desmond Tutu,gays are human too na wamezaliwa hivyo na wengi ni marafiki zetu, ndugu na familia zetu,Kuna mtu humu atafurahi mtoto wake who happen to be gay afungwe maisha??and supporting gays doesn't mean you are gay too,good job Tutu waonyeshe hao wanafiki wanao preach fake love and peace huku wakiwatenga wengine and I support all gays around the world wapate haki 100%
Dalili za mwisho wa dunia zinajitokeza waziwazi
kama ulikuwepo jamaa yangu huyu napakaa chana bateta tu au napakaa chatini.Huyu nyie wahindi mngempaka pilipili kwenye makalio!
Teh teh teh teh!
Mi nawajua nyie! Singasinga nuksi!!
Big up Desmond Tutu,gays are human too na wamezaliwa hivyo na wengi ni marafiki zetu, ndugu na familia zetu,Kuna mtu humu atafurahi mtoto wake who happen to be gay afungwe maisha??and supporting gays doesn't mean you are gay too,good job Tutu waonyeshe hao wanafiki wanao preach fake love and peace huku wakiwatenga wengine and I support all gays around the world wapate haki 100%
sijui unamsia askofu tutu kwa sababu gani.Big up Desmond Tutu,gays are human too na wamezaliwa hivyo na wengi ni marafiki zetu, ndugu na familia zetu,Kuna mtu humu atafurahi mtoto wake who happen to be gay afungwe maisha??and supporting gays doesn't mean you are gay too,good job Tutu waonyeshe hao wanafiki wanao preach fake love and peace huku wakiwatenga wengine and I support all gays around the world wapate haki 100%