Punjab Singh
JF-Expert Member
- Jan 14, 2014
- 955
- 651
huyu kweli bado kanisa litampa nafasi kuongoza ibada.Nadhani zamani alikuwa ni yule Sam bokha! Jamaa alikuwa anasura kama jiko!
Hivi sasa kama sio tabu mbeki basi atakuwa yule mwimbaji wa kizaire anaitwa kofi olomide! Manake safari za huko haziishi! Na anapaka mkorogo vibaya.
Yule mzee anachezeshwa mayenu balaa na mzairwa!
Teh teh teh teh