Baraka Roman
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 692
- 262
imepikwa hii, hakuna lolote
Naomba Mungu iwe hivyo maana ni hatari kwa vizazi vijavyo
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
imepikwa hii, hakuna lolote
juzi tu kuna kiongozi wa dini hapa tanzania alikuwa anazungumza katika television nilikuwa nimekaa sehemu na watu mkaka mmoja akaropoka hivi huyu bado kiongozi ndo maana sisi tulijitenga kwa sauti ya chini nikamuuliza akasema huyu bwabwa aisee nilishituka mpaka nikahisi jasho,nikamwambia nipe evidence unajua alisemaje alishazomea kabisa na watu wanajua wengi tatizo hawataki upande alioko siasa nyingi hamna imani aisee nilipata uchungu
Wanaohitaji kadi za uanachama tuwasiliane ..!
View attachment 132970 MORE PHOTOS
ARCHBISHOP Desmond Tutu has surprised South Africans by announcing the formation of a gay political party called the Democratic Religious Alliance Against Minority Antagonism (DRAAMA), which will take part in a general election later this year.
Last year Tutu outraged Christians when he declared: I would refuse to go to a homophobic heaven No, I would say sorry, I mean I would much rather go to hell I would not worship a God who is homophobic and that is how deeply I feel about this. MORE PHOTOS
Mkuu siyo mzee mpe cheo chake AskofuTutu.Oh, ok! Mimi niliposoma "..announcing the formation.." nikajua alialikwa kama mgeni rasmi kwenye uzinduzi, kumbe ni chama chake kaanzisha, kwa hiyo huyu mzee na yeye ni bwabwa? teh teh!
sijaelew bado kwani nae ni shoga?
Huyu Askofu siku nyingi tu watu wanamtafuna.Kama ni kweli, huyu mchungaji anatakiwa achomwe moto kama watu wa ruth, maana ni adhabu ambayo mungu aliitoa kwa watu wa aina hii, amekejeli mungu. Stupid Bishop
Mkuu siyo mzee mpe cheo chake AskofuTutu.
CAPE TOWN - As South Africa heads for nail-biting 2014 general elections Archbishop Desmond Tutu has pulled up a suprise by announcing the formation of a Gay political party called Democratic Religious Alliance Against Minority Antagonism (DRAAMA)".....aanzisha?"!!!!
Mbona siku nyingi tu watu wanampiga ndonga hauoni naye uwa anavaa pete ya ndoa.Teh teh teh! Huyu miss Desmond tutu kumbe ni chakula muda mreefu!
Jamaa na uzee wote ule kumbe biscuti kuvunja hawezi!
Wee padri Cureone si ulikuwa unamsifu huyu kuwa analifahamu ANDIKO??
Now! Some1 is riding him!
Yesu wangu weee!