Bishop Desmond Tutu aanzisha chama cha mashoga!

Status
Not open for further replies.
AMERICA'S FIRST OPENLY GAY IMAM PERFORMS SAME-SEX MARRIAGES

His inclusive mosque has outraged some Muslim leaders

IEOSDB94T9CMC1KI-cp0x11x929x534-rszw640.jpg

Dec 22, 2013 by Mary Noble
Daayiee Abdullah's first act as Imam was to perform funeral rites for a gay Muslim who died of AIDS. Other Imams had refused to perform the Muslim cleansing ritual for the AIDS victim.
That kind of exclusion was why Abdullah became an Imam in the first place, to offer support to gay and lesbian Muslims who are often excluded from their religious communities.
Many American Muslim leaders have condemned him, particularly for performing gay marriages. Some imams even refuse to greet him.
"Anyone who has an inclination that is not acceptable, they have to control themselves," said California imam Muzammil Siddiqi to Al Jazeera when the network asked about Abdullah. "If someone has an inclination to commit adultery or an inclination to drink alcohol or a great desire to eat pork, I would say the same thing: control yourselves."
But Abdullah is virtually a folk hero among American gay rights advocates and progressives. "He's like the Harvey Milk of gay Muslim leaders in America," said Prof. Abdelilah Bouasria of the American University to theWashington Post.
"I have a slightly different vision of Islam," Abdullah told the Washington Post, "and it may take a while for the world to catch up."
Abdullah helps gay Muslims he marries to keep their ceremonies quiet, since families back in the Middle East could be persecuted if the marriages became known. "Our relatives could be killed, their homes destroyed back in the Middle East if our wedding was on the Internet," said MQ, 35, a Muslim who married his partner in a ceremony performed by Abdullah.
Born in 1954 to Southern Baptist parents, Abdullah came out to his parents at the age of 15, and converted to Islam at age 23. He allows women to sit with men and women can lead prayers - another innovation that has outraged some American Muslims.
Al Jazeera.

America's First Openly Gay Imam Performs Same-Sex Marriages
 
Mgalatia bhanaa !.........mtu ana zaaje na mamake !??........atakuwaje na umri mkubwa halafu apate watoto, tena zaidi ya wanne !
Tumia akili Mgalatia Mlaleo
Mwanamke yeyote usiye na nasaba nawe ni halali kuoa !..........sasa mbona Yesu hakuoa na alitahiriwa ?

wewe ni Pimbi sana maana huelewi hata unachokisoma... nimeandika hapo Muhammed alizaa na Mwanamke Mjane aliyeolewa mwanzoni.... Jimama lenye umri wa miaka 40 na lilikuwa na watoto tayari na mwamedi alikuwa kinda la miaka 25 ni sawa na mama ake mwamedi tu kiumri...
 
AMERICA'S FIRST OPENLY GAY IMAM PERFORMS SAME-SEX MARRIAGES

His inclusive mosque has outraged some Muslim leaders

IEOSDB94T9CMC1KI-cp0x11x929x534-rszw640.jpg

Dec 22, 2013 by Mary Noble
Daayiee Abdullah's first act as Imam was to perform funeral rites for a gay Muslim who died of AIDS. Other Imams had refused to perform the Muslim cleansing ritual for the AIDS victim.
That kind of exclusion was why Abdullah became an Imam in the first place, to offer support to gay and lesbian Muslims who are often excluded from their religious communities.
Many American Muslim leaders have condemned him, particularly for performing gay marriages. Some imams even refuse to greet him.
"Anyone who has an inclination that is not acceptable, they have to control themselves," said California imam Muzammil Siddiqi to Al Jazeera when the network asked about Abdullah. "If someone has an inclination to commit adultery or an inclination to drink alcohol or a great desire to eat pork, I would say the same thing: control yourselves."
But Abdullah is virtually a folk hero among American gay rights advocates and progressives. "He's like the Harvey Milk of gay Muslim leaders in America," said Prof. Abdelilah Bouasria of the American University to theWashington Post.
"I have a slightly different vision of Islam," Abdullah told the Washington Post, "and it may take a while for the world to catch up."
Abdullah helps gay Muslims he marries to keep their ceremonies quiet, since families back in the Middle East could be persecuted if the marriages became known. "Our relatives could be killed, their homes destroyed back in the Middle East if our wedding was on the Internet," said MQ, 35, a Muslim who married his partner in a ceremony performed by Abdullah.
Born in 1954 to Southern Baptist parents, Abdullah came out to his parents at the age of 15, and converted to Islam at age 23. He allows women to sit with men and women can lead prayers - another innovation that has outraged some American Muslims.
Al Jazeera.

America's First Openly Gay Imam Performs Same-Sex Marriages

RajBhai waeleze haya mambo hutokea kutokana na tabia za mtu na mtu wao wanachukulia wafuasi wote... cha muhimu hata kama kiongozi atakosea si kwamba na waumini wanafuata viongozi watu wanafuata vitabu coz end of the day kwenye judgement kila mtu atahukumiwa kivyake...
kahtaan Ritz gombesugu Ally Kombo
 
Last edited by a moderator:
Hapa tunafundisha mtu mwenye ubongo kama konokono!
Hebu jisome hapo juu!

we unajiita MTANZANIA na mpaka leo hujajua tofauti baina ya BISHARA na BIASHARA??
AU we muhutu? isije ikawa najadili na banyamulenge hapa!

Ntakuwekea maana zake hapa kwa ajili ya wasomaji wengine! we kukuelimisha tumeshachelewa!
wE SUBIRI KUFA TU! Ukaozee JAHANNAM!

BISHARA maana yake ALAMA, UFUNUO, UPEO n.k

BIASHARA maana yake MWENENDO WA KUNUNUA AU KUUZA AU KUBADILISHANA BIDHAA AU VITU MBALIMBALI.

Halafu UKIONA ktk QURAAN sehemu yoyote ianyosema "SISI" "NATUKAKUJAALIENI" "TUKAWAPA" " TUMEKITEREMSHA" NA SEHEMU YYT INAYO ASHIRIA WINGI!

HII kwa kiingereza inaitwa " PLURAL OF RESPECT"
SASA usiniulize mimi nini maana yake! nenda kasome, Sio kila kitu utafuniwe na WAISLAMU. ntakusaidia mifano tu!

Rais au Mfalme wa nchi akisema "we Mlaleo kuhusiana na ile kesi ya kumbaka na kumnajisi mtoto mdogo ndani ya kanisa ambayo umehukumiwa kunyongwa TUMEAMUA KUKUSAMEHE"

Hapo haina maana ni RAIS na wenzake ndio wamekusamehe! la hasha!Hapo ina maana NI RAIS NA UTAWALA WAKE{nguvu zake na cheo chake, na mamlaka yake}.

matatizo yenu WAGALATIA, Lugha ya kiswahili pia HAMUIJUI! sasa hili si janga kuu?

Ok kama hilo Neno BISHARA ni Kiswahili basi ndio nimelifahamu leo.... ila mambo ya kutaka kubadilisha Koran maneno uache kabisa.. Koran inasema hivi

: "Hakuna mungu ila Allah (s.w.t.) Yeye ni Mmoja na Mpweke kabisa, na Yeye hana washirika.

Usilete blah blah hapa ati Plural tunaona Koran inakuja sema tena Tumekuumbeni.... mambo ya kusema Allah ana utawala wake basi ni Muhammed na Maquraishi wengine hivyo Allah hakuwa Mpweke ni kweli alikuwa na mabinti zake wanne... jumba la jiwe kahaba na kuna siku Mwamedi aliwafukua watu na akavunja vunja masanamu akiwaambia hii ni nyumba ya allah

Unafahamu unachozungumza kuhusu Wagalatia au umekalirishwa na Sheikh Ponda!!
 
Sio hilo neno moja tu!
We mtoto elimu yako ni ndogo saana! Tena saana.

We ni kama hao wenzako tu! Zaidi ya kashfa na matusi. Huwezi kujenga hoja ya MAANA HATA SIKU MOJA!

Mtu kama wewe unajidili na mimi wakati hujui kitu kinachoitwa "PLURAL OF RESPECT"??

Sasa kuna nini unachokijua?
 
Haya ni maneno ya Yesu mwenyewe baada ya kufufuliwa yanayopatikana kwenye Mathayo 24:16 - 19.

16 Hata hivyo, wale wanafunzi kumi na mmoja wakaingia Galilaya mpaka kwenye mlima ambako Yesu alikuwa amewafanyia mpango,

17 nao walipomwona wakasujudu, lakini baadhi yao walikuwa na shaka.

18 Naye Yesu akakaribia na kuwaambia, akisema: “Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.

19 Kwa hiyo
nendeni mkawafundishe watu kutoka mataifa yote, mkiwabatiza katika jina la Baba na la Mwana na la roho takatifu.

cc. kahtaan

Nani aliyemfufua Yesu na nani aliyempa Yesu Mamlaka yoote Mbinguni na Duniani !?
 
wewe ni Pimbi sana maana huelewi hata unachokisoma... nimeandika hapo Muhammed alizaa na Mwanamke Mjane aliyeolewa mwanzoni.... Jimama lenye umri wa miaka 40 na lilikuwa na watoto tayari na mwamedi alikuwa kinda la miaka 25 ni sawa na mama ake mwamedi tu kiumri...

Huwezi kuoa mama yako, na hakuna mwanamke yoyote anaweza kufikia sifa za mama yako. Unaruhuisa ya kuoa mwana mke wa umri wowowte mkubwa ikiwemo Bi Kidude, ila utakosa watoto tu
 
Ok kama hilo Neno BISHARA ni Kiswahili basi ndio nimelifahamu leo.... ila mambo ya kutaka kubadilisha Koran maneno uache kabisa.. Koran inasema hivi

: "Hakuna mungu ila Allah (s.w.t.) Yeye ni Mmoja na Mpweke kabisa, na Yeye hana washirika.

Usilete blah blah hapa ati Plural tunaona Koran inakuja sema tena Tumekuumbeni.... mambo ya kusema Allah ana utawala wake basi ni Muhammed na Maquraishi wengine hivyo Allah hakuwa Mpweke ni kweli alikuwa na mabinti zake wanne... jumba la jiwe kahaba na kuna siku Mwamedi aliwafukua watu na akavunja vunja masanamu akiwaambia hii ni nyumba ya allah

Unafahamu unachozungumza kuhusu Wagalatia au umekalirishwa na Sheikh Ponda!!

Haya tuseme kuwa wewe Kiswahili hujui!

Wewe ktk hio ibada yako ya kigalatia ya agano jipya unafuata waandishi wa maagano wafuatao.
MATAYO
MARKO .
LUKA.
YOHANA .

Na kama tujuavyo ktk huu ulimwengu HAKUNA BINAADAMU HATTA MMOJA akawa na JINA MOJA TU na AKUBALIKE!

Yaani kwa kifupi wewe ukiandika jina MOJA TU kwenye kitambulisho au kwenye paspoti au hata kwenye cheki ya benki vyoote hivyo HAVITO KUBALIKA KI SHERIA!

Na hakuna DOCUMENT YOYOTE DUNIANI ILIOANDIKWA NA MTU YYT Halafu ikawa NA JINA MOJA TU bila JINA LA MZAZI.!

Na kanuni hii NI TOKA YESU HAJAZALIWA.
Huwezi KUANDIKA CHOCHOTE HALAFU KIKAKUBALIKA KWA JINA MOJA TU! Its impossible.

Sasa hebu TUSAIDIE MAJINA YA WAZAZI WA HAO JAMAA HAPA.
.
MATAYO.....?
MARKO.......? .
LUKA........?
YOHANA.......?

Ukinipa hayo majina yao YA PILI na mimi nabatizwa leo hii bila maji ( yaani kavu kavu).!
 
Nani aliyemfufua Yesu na nani aliyempa Yesu Mamlaka yoote Mbinguni na Duniani !?

Ungejiuliza kua kwanini hao wanafunzi walimsujudia Yesu wakati Sujuda ni kwa Mungu tu? Ukishajiuliza hivyo ndo Uje na hayo maswali yako Mkulu!
 
Leo nakutia Maji Mkulu! Mkulu Leo umebatizwa!
 
Hata Adam ALISUJUDIWA NA MALAIKA WOTE!

Na Joseph wakati ni mfalme wa EGYPT ALISUJUDIWA NA WATU WOTE!

Sasa wewe kipi kinakishangaza Yesu kusudiwa na wanafunzi 12??

Umesahau hata FIRAUNI ALISUJUDIWA PIA?

Na Yule mfalme wa swaziland mwenye wake 100 na zaidi MPAKA LEO ANASUJUDIWA!

Its not a big deal.
 
Mkuu Ntuzu NASUBIRI JIBU ILI UNIBATIZE BILA MAJI.

cc CHAMVIGA. Boko haramu Khawarizm Gavana

Padri matumbo na mzee wa makalio Kipala
 
Last edited by a moderator:
Hata Adam ALISUJUDIWA NA MALAIKA WOTE!

Na Joseph wakati ni mfalme wa EGYPT ALISUJUDIWA NA WATU WOTE!

Sasa wewe kipi kinakishangaza Yesu kusudiwa na wanafunzi 12??

Umesahau hata FIRAUNI ALISUJUDIWA PIA?

Na Yule mfalme wa swaziland mwenye wake 100 na zaidi MPAKA LEO ANASUJUDIWA!

Its not a big deal.

Mkulu umenifurahisha sn! Sujuda sio ishu sn?!!!!

Anaestahili kusujudiwa ni Mungu alie hai Mkulu!
 
Ungejiuliza kua kwanini hao wanafunzi walimsujudia Yesu wakati Sujuda ni kwa Mungu tu? Ukishajiuliza hivyo ndo Uje na hayo maswali yako Mkulu!

Mkulu umenifurahisha sn! Sujuda sio ishu sn?!!!!

Anaestahili kusujudiwa ni Mungu alie hai Mkulu!

Hebu jisome hapo mkuu.
Leo vipi!?
Au ibada ya divai imenza mapema!? 😛😀😀
 
Nani aliyemfufua Yesu na nani aliyempa Yesu Mamlaka yoote Mbinguni na Duniani !?

Swali zuri mkulu.... Ni Baba Yake wa Mbinguni...... MUNGU wa Kweli yaani YEHOVA.

Lakini lile swali letu la msingi la
kuwafundisha watu wa mataifa yote limesadifu????

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom