Bishanga, popote ulipo. . .

Bishanga, popote ulipo. . .

Erickb52 umeona hilo pozi la mtu hapo juu?
 
Last edited by a moderator:
Mie pia nimemmiss sana huyu mtu,

kongosho ntakusaidia kumtafuta afu ntamleta mpaka kwako!
 
He he he, waitu umerudi?

Kumbe sauti yangu inaweza kumtoa ngombe migombani?

Ndo utajibeba, nilikuwambia kama smoo hausi Konnie anakufaa wewe husikii, ona sasa wamekutenda.
Nakumiss kinoma Konnie,ila kuna mahali nimeharibu kishenzi,ngoja nirekebishe,wake za watu nouma aisee.
 
zamaniiiiiii

Alllaaaaaa sasa nimeelewa.Ujue jana nilikutana na SL nyumbani lounge nikashangaa alivyokonda,kuachwa mchezo?
Sasa nitts kaopoa nani? chochonde asije akaonekana maeneo ya nyanda za juu kaskazini,ka vipi tutauana bure.
 
Bishanga, umeweza kusovu na huyo mke wa mtu?

Au ndo washakutenda?
 
Last edited by a moderator:
Alllaaaaaa sasa nimeelewa.Ujue jana nilikutana na SL nyumbani lounge nikashangaa alivyokonda,kuachwa mchezo?
Sasa nitts kaopoa nani? chochonde asije akaonekana maeneo ya nyanda za juu kaskazini,ka vipi tutauana bure.
Khaaa!..
 
yamenikuta!
Kesho nashuka na uzi mmu,title:
'nimekoma kulamba wake za watu',
stay tuned namhangaikia mgonjwa icu!
Nilipata taarifa kwamba uko Kipatimo................Kule ni sawa uchoke kuwalamba wake za watu, maana wako bwelele...............LOL
 
Back
Top Bottom