Birthday yangu

hongera sana!
Ninachokifurahia ni kwamba na mimi pia ni birthday yangu.idea ilikuwa kupost the same stuff.lakini kama hivi umeniwahi haina mbaya,naomba tuungane kuiadhimisha siku kama hii!

Happy birthday kichuguu+geoff
hongereni wote jamani.
Nawatakieni maisha marefu sana.
Nawaombea wote muone tena nchi ikitoka kwenye kahawia ikielekea kwenye wekundu baada ya kutoboka tabala la hewa ya ozone
 
hahahahah!
mkuu kwa niaba yangu na kichuguu napenda kutoa shukrani zangu za dhati.

napenda kukuthibitishia tu kwamba tu mapacha.na mzazi wetu hapa ni jf

Happy belated Birthday Kichuguu na Geof. Lakini hata mie birthday yangu ni the same day(jana) ila sikuweza kupita humu maana dear hubby alienda kunificha mbaliiiiiiiiiii.
It feels good kujua kuna watu tunashare hapa JF. GOD BLESS YOU ALL.
 
Happy birthday Kichuguu. Hongera Mkuu kwa kula chumvi nyingi. Endelea kukamata chumvi.

Nilikuwa sijapita hapa hiyo 27/09/2009. Nikaona hata belated birthday wishes zinalipa. Again, Happy birthday Mkuu.
 
Siku ya kuzaliwa kwangu ni tarehe 27 September. Nilizaliwa miaka mingi ilyopita wakati nchi ikiwa ya kijani sana. Sasa hivi naona uchungu kuwa nchi yote ni ya kahawia.

Hebu nipe salamu za happy birthday na naahidi nitazipokea kwa moyo mkunjufu kwa vile nimeshavuka kiwango cha umri wa mtanzania wa kawaida, yaani ninakula bonasi ambayo watanzania wengi hawaipati.

Kichuguu hongera sana na nimefurahi pia kupata mtu ambaye birthday date yake ni sawa na yangu kwani nami pia nimezaliwa 27/09 miaka mingi iliyo pita
 
Happy belated Birthday Kichuguu na Geof. Lakini hata mie birthday yangu ni the same day(jana) ila sikuweza kupita humu maana dear hubby alienda kunificha mbaliiiiiiiiiii.
It feels good kujua kuna watu tunashare hapa JF. GOD BLESS YOU ALL.

Wow! hongera Carmel ninazidi kufurahi kujua watu tulio zaliwa siku moja hata mie jana ilikuwa bday yangu pia
 
happy bday dear ticha happy bday to you

belated_birthday_comment_graphic_05.gif
 
Wakuu CARMEL,na BORNTOWN

happybirthday sana yani,mbarikiwe
mwaka wetu huu
 
Wow! hongera Carmel ninazidi kufurahi kujua watu tulio zaliwa siku moja hata mie jana ilikuwa bday yangu pia

Congrats an happy belated b'day. inabidi next yera Mungu akituweka hai tutafutane siku hiyo wote tulio bongo au mnasemaje
 
hongera sana bwana Kichuguu pamoja na bwana Geoff.
Mungu Mwenye rehema na utukufu awalinde siku zote za maisha yenu, muishi miaka mingi zaidi na zaidi ili tuendelee kufaidi busara zenu zisizo kauka kama chemichemi.

Pia bwana Kichuguu nimepata idea kutoka kwako ya kuweka birthday yangu hapa mwezi ujao ili niweze kupata wadau wengine ambao tuna siku za kuzaliwa zifananazo pamoja na kupata ushauri wa nini nifanye uko mbele kwakuwa kufikisha miaka kadhaa unahitaji kushauriwa na watu wengine pia.
In GOD we trust
 
Nakumbuka tarehe hii dada yangu alimaliza chuo kikuu na kufariki tarehe kama ya leo na mwezi kama wa leo 28/09/1998 marehemu aisha msemo. Alifariki tanga na kuzikwa tanga alimaliza chuo mwaka 98, Bsc Eng. Chuo kikuu cha dar es salaam.
Namuombe huko aliko akae mahala pepa peponi
amina
 
pole sana OP
Mungu amlaze dada yako mpendwa mahali pema peponi. Amen
 
Back
Top Bottom