Birthday yangu

Smith Rowe

JF-Expert Member
Sep 18, 2018
3,301
5,408
Hello
Nilizaliwa tarehe moja mwezi wa kwanza.
Wish me brothers and sisters dk chache zijazo itakuwa ni kumbukumbu yangu ya kuzaliwa.

Ningekuwa na mpenzi angenipost na caption ndefu yenye maneno matamu. Ila sina hata rafiki wa karibu sana wa kike poor me.

All in All happy birthday in advance to me.
 
Mwanaume mzima unakuja na mambo yq kikekike
 
Hello
Nilizaliwa tarehe moja mwezi wa kwanza.
Wish me brothers and sisters dk chache zijazo itakuwa ni kumbukumbu yangu ya kuzaliwa.

Ningekuwa na mpenzi angenipost na caption ndefu yenye maneno matamu. Ila sina hata rafiki wa karibu sana wa kike poor me.

All in All happy birthday in advance to me.
Happy birthday Lokonga .. Yesu Pelee ndie rafiki wa kweli hatakuacha hata katika dhiki kuu
 
sending you best wishes for success,health and good fortune today and in the year to come.Enjoy your special day and once again Happy birthday
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom