Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
Beyonce amemzawadia zawadi mume wake Jay z,saa yenye thaman ya dolla million 5,ambazo ni sawa na zaidi ya billion 6 za kitanzania kama zawadi ya birthday,pia si mara ya kwanza kwa Beyonce kumsurprise Jayz,
mwaka jana alimzawadia gari aina ya bugatti yenye thamani ya euro million 1.8
saa aliyonunuliwa jayz ni ya almas na ambayo uchukua watu 17 na miezi 14 kubuni kuitengeneza hiyo saa.
uku tz ukimnunulia mke/mme wako zawadi kubwa watu wanapiga majungu