Kisa mgongano wa kisiasa; Jay Z na Beyonce wajiweka mbali na Kanye West

Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
268,256
1,095,901
RadarOnline Imeripoti kuwa Beyonce na Jay-Z hawana mpango tena wa kurudisha mahusiano bora kati yao na familia ya Kanye West na Kim Kardashian. - Jay Z ,48, na Beyonce ,37, ambao wametajwa kutaka kuingia kwenye siasa mbeleni hawataki kuwa karibu na mtu kama Kanye mwenye njaa ya umaarufu na yuko tayari kufanya jambo lolote ata kuchafua jina lake kwa kuunga mkono uongozi wa Donald Trump. - Kama inavyojulikana Kim Kardashian, 37, na Kanye West, 41, wamekuwa wakijaribu kurudisha urafiki wao na Hollywood’s most beloved couple Jay Z na Beyonce.. - Msemaji wa Jay Z ameondoa maswali yote kuhusu Kanye na Donald Trump kwenye interview zijazo za JAYZ - Mwanzoni mwa mwaka huu Beyonce na Jay-Z walimnunulia mtoto wa Kanye na Kim Kardashian #Chicago zawadi ya Bracelet yenye thamani ya dola $26,000.
 
mr HOV na queen bee walianzaga kujitenga na kanye tangu alipotangaza ndoa na kim.....hawa kwenda hata kwenye harusi japo walialikwa.

ikaja migogoro ya TIDAR kati ya hov na kanye.. ikaishia kwa hov kumlipa kanye more than 15 milion $

ikaja kanye kumdiss hov jukwaani

ikaja hov kumdiss kanye kwenye track

ila chanjo cha yote ni KIM....beyonce na hov hawatak ukaribu wa sana na kim
 
Kim aliwafanyaje
 
Kanye (Ye) hana habari nao kitambo " Maana alishachoka kuwaabudu miungu watu " Wafanye mambo yao tu Kanye (Ye) hana fagio na Mtu

huyo unayesema hana mpango na mtu ndio mwaka jana akiwa jukwaani gafla akaanza kulalamika kuwa jay z hajaenda kwenye harusi yake mara oooh jay z hataki watoto wao wahang out pamoja mara oooh mke wako hampendi mke wangu

unaikumbuka hyo show ya kanye west lakin? ambapo ndio ilipelekea jay z kumdiss kanye kwenye wimbo na kufichua mambo mengine kuhusu TIDAR ambayo hata yalikuwa hayajulikani
 
hawapendi mambo yake ..

wanasema yupo tayari kuweka utu wake rehani kisa fame na pesa so hatokuwa mfano mzuri kumuweka karibu na watoto wao

na kina jay z ni watu wa privacy so hawataki kim awe karibu yao maana anaweza hata kuwatumia wao kwa kutoa siri zao ili mradi tu amentain fame na kuingiza pesa
Ahaaa kumbe,lakin kwa kim alipo anawahitaji kina bey wa nini sasa
 
Hawataki watu wenye njaa huku kwetu tz ccm kununua watu wenye njaa wanashangilia balaa na kujiona wajanja wakina jingalao
 
Beyonce mjanjaa,ndio maana beyonce huwezi muona akiwa na kim karibu
anamkwepa sana... ile familia ya kanye na kim watu waajabu kabisa

embu cheki video ya kanye ya famous kweli mtu na akili yako unatoa video mke wako yupo uchi kitandano hyo ni akili kweli?

kim akipost nude kanye analike hayo mambo kina beyonce hawayataki kabisa

beyonce na jay z wapo smart sana unakumbuka walimtenga rihanna aliporudiana na breezy wakasema siyo mfano mzuri kwa mtoto wao atarudianaje na mtu aliyempiga hadi akalazwa 😂
 
anamkwepa sana... ile familia ya kanye na kim watu waajabu kabisa

embu cheki video ya kanye ya famous kweli mtu na akili yako unatoa video mke wako yupo uchi kitandano hyo ni akili kweli?

kim akipost nude kanye analike hayo mambo kina beyonce hawayataki kabisa

beyonce na jay z wapo smart sana unakumbuka walimtenga rihanna aliporudiana na breezy wakasema siyo mfano mzuri kwa mtoto wao atarudianaje na mtu aliyempiga hadi akalazwa
Nao kina jayz wamezidi kujiona wako perfect. Jayz alivyopokea kipondo kutoka kwa shemeji yake mbona bey hakuvunja undugu na solange.

Mimi siwapendi.
 
Nao kina jayz wamezidi kujiona wako perfect. Jayz alivyopokea kipondo kutoka kwa shemeji yake mbona bey hakuvunja undugu na solange.

Mimi siwapendi.
Jiga kala sana ma pornstars ma club strippers ,casino hookers .

Je yeye ni mfano mzuri

Halafu bey kaganda kwa mchizi au anamlia timing jamaa awe bilionea asepe na nusu ya utajiri
 
Back
Top Bottom