Birthday Gift: Beyonce amnunulia Jay z saa yenye thamani ya zaidi sh billion 6 za kitanzania

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,058
2,000
Beyonce amemzawadia zawadi mume wake Jay z,saa yenye thaman ya dolla million 5,ambazo ni sawa na zaidi ya billion 6 za kitanzania kama zawadi ya birthday,pia si mara ya kwanza kwa Beyonce kumsurprise Jayz,
mwaka jana alimzawadia gari aina ya bugatti yenye thamani ya euro million 1.8
saa aliyonunuliwa jayz ni ya almas na ambayo uchukua watu 17 na miezi 14 kubuni kuitengeneza hiyo saa.

uku tz ukimnunulia mke/mme wako zawadi kubwa watu wanapiga majungu

908754_diamond1_jpg7454555c1d926703d0aa039af12bf814908754_diamond1_jpg7454555c1d926703d0aa039af12bf814

908755_JayZ_01_1613878a_jpg2ab18ffa8d508058fd339da62c835efb
 

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
14,993
2,000
....?????....

Usishangae..... In Sept 2010, when Beyonce turned 29yrs old.....

Jay-Z, Jiga, alinunua a Private Island, in Florida....

costs $ 20million kama ZAWADI YA BIRTHDAY KWA
BEYONCE

12.5 acres, 2.5 miles off shore ya Florida....

... JIGA IS IN ANOTHER LEVEL...!!!
 

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,134
2,000
Baada ya muda si mrefu watawafuata akina Evanda,Tyson,MC Hammer,miafirka kwa ulimbukeni hata ikiwa wapi kazi buure
 

Dina

JF-Expert Member
Sep 18, 2008
3,156
2,000
Najua kuwa matatizo yetu hayawahusu, ila laiti wangejua kuwa wenzao huku hata maji safi ya kunywa bado ni shida!
 

Nicole

JF-Expert Member
Sep 7, 2012
4,274
0
hahahahahah nata bana anafurafisha sana...ukiwa huna anasema ni curse na hawezi kukupa salamu yake, ukiwa nazo na ukaspend anasema u grew up poor....ni kweli walikuwa maskini but nao wanazo tena kushinda alizo nazo nata na ukoo wake wote.....yy dola mia tu alitupiga changa la macho wakati wenzie wananunua saa za bilioni 6 ka mie ninavyonunua cmu za mchina kila leo...............
Kongosho
King'asti
mwaJ
Ciello
Kaunga
waiteni wengine waone hii comment ya mutoto ya fisadi Natalia hakyamungu nimecheka sana
 

cacico

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
8,364
1,250
mapenzi ni zawadi na naksh naksh kama hizo, sio kutoana sugu tu!! am happy for them!
 

KXY

JF-Expert Member
Dec 31, 2011
877
250
Baada ya muda si mrefu watawafuata akina Evanda,Tyson,MC Hammer,miafirka kwa ulimbukeni hata ikiwa wapi kazi buure

"Hammer went broke so you know I'm more focused/I lost 30 mil' so I spent another 30/ 'Cause unlike Hammer 30 million can't hurt me," ~ Jigga
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom